Naona hii trend inayoendelea bongo inashika kasi kila sehemu
Trend ya kuongea au kuandika vitu ambavyo jinsia nyingine wanadhaniwa kupendelea ili kujipatia umaarufu
Kwa wanaumewanaongelea vitu ambavyo vitawafanya waonekane ni magentle men kwa wanawake
Mf.mwanaume lazima utafute pesa,wanaume wapeni pesa wanawake
Wachungaji kuzungumzia zaidi mahusiano kuliko kupinga maovu,dhambi,upendo
Na hapa kwa wachungaji wengi wanawake utaona wakiwasema sana wanawake wenzao na kuonesha wao wanawafaham vizuri wanaume
Wanawake kuwasema wanawake wenzao ili kujipatia umaarufu kwa jinsia ya kiume mf..hii post na za dada fulani anatrend tik tok
NB: mf hii thread itapendwa na wanaume zaidi ya 90% na itachukiwa na wanawake zaidi ya 90%