sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hawa ni watu ambao yani kila baada ya siku kadhaa wanakuja dukani ila hawanunui chochote zaidi ya kukuhangaisha.
- Wanataka bidhaa za juu, utapanda ngazi
-Utaenda hadi duka lingine kutafuta bidhaa wanayohitaji
-Utapukuta vumbi bidhaa wanayoulizia
-Kama ni Tv basi utaitoa kwenye boksi wao waitesti
Hapo ukiwa umejaa matumaini baada ya mihangaiko hii hawatanitupa, ghafla unaskia "tutapitia baadae", inatia sana hasira!
Hawa watu ambao hawawezi kuwa wateja maana hawanunui kitu ni kero sana.
Umepumzika au unakula chakula mtu anakuja dukani kwako atakuhangaisha weee, naomba nione hicho, hebu kile, hiki sh ngapi, hebu nipunguzie, n.k
Kesho tena hivyo hivyo, yaani kila wiki lazima wapite hata mara 3.