Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haha.
So, I was very right, mkono mtupu haulambwi..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haha.
So, I was very right, mkono mtupu haulambwi..!
Huyu kiboko.Hapa kwenye biashara yangu kwa nyuma kuna banda la mpira, Sasa kuna mzee mmoja huyo Ni shabiki wa simba, basi kila kukiwa kuna mpira wa simba Ndio unamuona,
Kabla hajaingia lazima Apitie Dukani kuangalia na kuulizia bidhaa, na anaoda bidhaa nyingi kama humjui waweza useme leo Nimeula, Ana penda sana ku bagain bei, unakua mpole kumshushia sababu unaona anataka mzigo mkubwa.
Hio ndio kawaida yake, Niwepo mimi au mfanya kazi, halafu akimaliza anasema Usifunge duka Nifungie mzigo wangu Nikitoka kuangalia mpira nakuja kuchukua si tushapatana bei, basi unalazimika kuchelewa kufunga kwa sababu yake.
Akitoka hapo hutomuona,
Kwangu hii ni mara 4,
kwa mfanyakazi ndio hazihesabiki..
Jana kama kawaida, Kipindi cha kwanza kilivyoisha nikamwambia Mzee vip njoo uchukue mana leo Sitasubiri mpira uishee,
Akasema "kijana usijali mimi nikisema nimesema hua sina uswahili"
Daaa kimoyo moyo nikajisemea hivi huyu anaelewa anachokisema kweli?
Au nimemfananisha???
Kipindi cha pili kimeanza tuu nikaona ujinga huu, nikafunga nikasepa halafu nikamwabia jirani huyo mzee akija hapo hata akisimama kwenye grili mzuge nakuja halafu niambie nichukue boda fasta.
Jamaa baadae anani text...
"oya mzee wako leo kapitia nyuma ya banda"
Hata Kama mteja ni mfalme, Mfalme huyu ngoja tu nimkose.
Sasa Si ujinga huu, mtu mzima kama yule anajitesa kwa uswahili mpk unapitia uwani kwa watu...?
Ukidumbukia kwenye shimo la choo utasemaje???
😂😂😂😂😂😂😂 Mbavu zanguHapa kwenye biashara yangu kwa nyuma kuna banda la mpira, Sasa kuna mzee mmoja huyo Ni shabiki wa simba, basi kila kukiwa kuna mpira wa simba Ndio unamuona,
Kabla hajaingia lazima Apitie Dukani kuangalia na kuulizia bidhaa, na anaoda bidhaa nyingi kama humjui waweza useme leo Nimeula, Ana penda sana ku bagain bei, unakua mpole kumshushia sababu unaona anataka mzigo mkubwa.
Hio ndio kawaida yake, Niwepo mimi au mfanya kazi, halafu akimaliza anasema Usifunge duka Nifungie mzigo wangu Nikitoka kuangalia mpira nakuja kuchukua si tushapatana bei, basi unalazimika kuchelewa kufunga kwa sababu yake.
Akitoka hapo hutomuona,
Kwangu hii ni mara 4,
kwa mfanyakazi ndio hazihesabiki..
Jana kama kawaida, Kipindi cha kwanza kilivyoisha nikamwambia Mzee vip njoo uchukue mana leo Sitasubiri mpira uishee,
Akasema "kijana usijali mimi nikisema nimesema hua sina uswahili"
Daaa kimoyo moyo nikajisemea hivi huyu anaelewa anachokisema kweli?
Au nimemfananisha???
Kipindi cha pili kimeanza tuu nikaona ujinga huu, nikafunga nikasepa halafu nikamwabia jirani huyo mzee akija hapo hata akisimama kwenye grili mzuge nakuja halafu niambie nichukue boda fasta.
Jamaa baadae anani text...
"oya mzee wako leo kapitia nyuma ya banda"
Hata Kama mteja ni mfalme, Mfalme huyu ngoja tu nimkose.
Sasa Si ujinga huu, mtu mzima kama yule anajitesa kwa uswahili mpk unapitia uwani kwa watu...?
Ukidumbukia kwenye shimo la choo utasemaje???
Wanautishia umaskiniWana sifa sana ,afu ukute yuko na mwanamke wanapita pita tu madukan kuchagua friji na hawana hela.
Muhindi yupi mbona wa Kariakoo wanatuma mbongo Juma onyesha hiyomuhindi ndiyo anawapiga bao hapo waswahili kwenye biashara.
Muhindi ukienda dukani kwake yeye ndo anajihangaisha kukuonyesha bidhaa zaidi ya zile unazoziulizia.
Hebu ifike mahali waswahili mjifunze cross-selling and up-selling.
Akija siku nyingine mwambie akupe laki moja kwanza kabla kuanza kuuliza anachokitaka. Akiuliza kwa nini unamwambia ni gharama za malipo ya stoo kwa ajili ya mizigo minne tuliyoifunga tukisubiri uje kuinunua ukitoka kwenye banda la mpira.Akitoka hapo hutomuona,
Kwangu hii ni mara 4,
kwa mfanyakazi ndio hazihesabiki..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila ulimkosea huyo mzee, hivi hajarudi tena? au tuseme leo si kuna mpira wa simba vs yanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa kwenye biashara yangu kwa nyuma kuna banda la mpira, Sasa kuna mzee mmoja huyo ni shabiki wa simba, basi kila kukiwa kuna mpira wa simba ndio unamuona.
Kabla hajaingia lazima apitie Dukani kuangalia na kuulizia bidhaa na ana oda bidhaa nyingi kama humjui waweza useme leo Nimeula, Anapenda sana kubagain bei, unakua mpole kumshushia sababu unaona anataka mzigo mkubwa.
Hio ndio kawaida yake, Niwepo mimi au mfanya kazi, halafu akimaliza anasema Usifunge duka nifungie mzigo wangu Nikitoka kuangalia mpira nakuja kuchukua si tushapatana bei, basi unalazimika kuchelewa kufunga kwa sababu yake.
Akitoka hapo hutomuona,
Kwangu hii ni mara 4,
kwa mfanyakazi ndio hazihesabiki..
Jana kama kawaida, Kipindi cha kwanza kilivyoisha nikamwambia Mzee vipi njoo uchukue maana leo sitasubiri mpira uishee,
Akasema "kijana usijali mimi nikisema nimesema huwa sina uswahili"
Daaa kimoyo moyo nikajisemea hivi huyu anaelewa anachokisema kweli?
Au nimemfananisha???
Kipindi cha pili kimeanza tuu nikaona ujinga huu, nikafunga nikasepa halafu nikamwabia jirani huyo mzee akija hapo hata akisimama kwenye grili mzuge nakuja halafu niambie nichukue boda fasta.
Jamaa baadae anani text...
"Oya mzee wako leo kapitia nyuma ya banda"
Hata Kama mteja ni mfalme, Mfalme huyu ngoja tu nimkose.
Sasa si ujinga huu, mtu mzima kama yule anajitesa kwa uswahili mpaka unapitia uwani kwa watu...?
Ukidumbukia kwenye shimo la choo utasemaje???
Mimi sijamkosea chochote mkuu,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila ulimkosea huyo mzee, hivi hajarudi tena? au tuseme leo si kuna mpira wa simba vs yanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha..
Muhindi ndiyo anawapiga bao hapo waswahili kwenye biashara.
Muhindi ukienda dukani kwake yeye ndi anajihangaisha kukuonyesha bidhaa zaidi ya zile unazoziulizia.
Hebu ifike mahali waswahili mjifunze cross-selling and up-selling.
Hapa kwenye biashara yangu kwa nyuma kuna banda la mpira, Sasa kuna mzee mmoja huyo ni shabiki wa simba, basi kila kukiwa kuna mpira wa simba ndio unamuona.
Kabla hajaingia lazima apitie Dukani kuangalia na kuulizia bidhaa na ana oda bidhaa nyingi kama humjui waweza useme leo Nimeula, Anapenda sana kubagain bei, unakua mpole kumshushia sababu unaona anataka mzigo mkubwa.
Hio ndio kawaida yake, Niwepo mimi au mfanya kazi, halafu akimaliza anasema Usifunge duka nifungie mzigo wangu Nikitoka kuangalia mpira nakuja kuchukua si tushapatana bei, basi unalazimika kuchelewa kufunga kwa sababu yake.
Akitoka hapo hutomuona,
Kwangu hii ni mara 4,
kwa mfanyakazi ndio hazihesabiki..
Jana kama kawaida, Kipindi cha kwanza kilivyoisha nikamwambia Mzee vipi njoo uchukue maana leo sitasubiri mpira uishee,
Akasema "kijana usijali mimi nikisema nimesema huwa sina uswahili"
Daaa kimoyo moyo nikajisemea hivi huyu anaelewa anachokisema kweli?
Au nimemfananisha???
Kipindi cha pili kimeanza tuu nikaona ujinga huu, nikafunga nikasepa halafu nikamwabia jirani huyo mzee akija hapo hata akisimama kwenye grili mzuge nakuja halafu niambie nichukue boda fasta.
Jamaa baadae anani text...
"Oya mzee wako leo kapitia nyuma ya banda"
Hata Kama mteja ni mfalme, Mfalme huyu ngoja tu nimkose.
Sasa si ujinga huu, mtu mzima kama yule anajitesa kwa uswahili mpaka unapitia uwani kwa watu...?
Ukidumbukia kwenye shimo la choo utasemaje???
Haya.Muhindi maisha yake magumu sana huwezi kumfananisha na sisi.
Rubii umepotelea. Wap mama ,ebu njoo pmKuna baadhi ya watu wanaitumia vibaya sana hii dhana ya mteja ni mfalme