Hawa wateja wanaoukuja kila mara dukani na kutuhangaisha muda mrefu bila kununua kitu tunadili nao vipi?

Hapa kwenye biashara yangu kwa nyuma kuna banda la mpira, Sasa kuna mzee mmoja huyo Ni shabiki wa simba, basi kila kukiwa kuna mpira wa simba Ndio unamuona,

Kabla hajaingia Kuingia mpira lazima Apitie Dukani kuangalia na kuulizia bidhaa, na anaoda bidhaa nyingi kama humjui waweza useme leo Nimeula, Ana penda sana ku bagain bei, unakua mpole kumshushia sababu unaona anataka mzigo mkubwa.

Hio ndio kawaida yake, Niwepo mimi au mfanya kazi, halafu akimaliza anasema Usifunge duka Nifungie mzigo wangu Nikitoka kuangalia mpira nakuja kuchukua si tushapatana bei, basi unalazimika kuchelewa kufunga kwa sababu yake.

Akitoka hapo hutomuona,
Kwangu hii ni mara 4,
kwa mfanyakazi ndio hazihesabiki..

Jana kama kawaida, Kipindi cha kwanza kilivyoisha nikamwambia Mzee vip njoo uchukue mana leo Sitasubiri mpira uishee,
Akasema "kijana usijali mimi nikisema nimesema hua sina uswahili"

Daaa kimoyo moyo nikajisemea hivi huyu anaelewa anachokisema kweli?
Au nimemfananisha???

Kipindi cha pili kimeanza tuu nikaona ujinga huu, nikafunga nikasepa halafu nikamwabia jirani huyo mzee akija hapo hata akisimama kwenye grili mzuge nakuja halafu niambie nichukue boda fasta.

Jamaa baadae anani nitext...
"oya mzee wako leo kapitia nyuma ya banda"

Kama mteja ni mfalme, Mfalme huyu ngoja tu nimkose.

Sasa Si ujinga huu, mtu mzima kama yule anajitesa kwa uswahili mpk unapitia uwani kwa watu...?
Ukidumbukia kwenye shimo la choo utasemaje???
😂😂😂😂
 
Hawa ni watu ambao yani kila baada ya siku kadhaa wanakuja dukani ila hawanunui chochote zaidi ya kukuhangaisha.

- Wanataka bidhaa za juu, utapanda ngazi
-Utaenda hadi duka lingine kutafuta bidhaa wanayohitaji
-Utapukuta vumbi bidhaa wanayoulizia
-Kama ni Tv basi utaitoa kwenye boksi wao waitesti

Hapo ukiwa umejaa matumaini baada ya mihangaiko hii hawatanitupa, ghafla unaskia "tutapitia badae", inatia sana hasira!

Hawa watu ambao hawawezi kuwa wateja maana hawanunui kitu ni kero sana.

Umepumzika au unakula chakula mtu anakuja dukani kwako atakuhangaisha weee , naomba nione hicho, hebu kile, hiki sh ngapi, hebu nipunguzie, n.k , ,

Kesho tena ivyo ivyo, yani kila wiki lazima wapite hata mara 3.
Hao ndio wateja sasa.Wanafanya window shopping na mazoezi ya kununua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sina mbavu huku khaaaa, watu wananshangaa tyuuuuh
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Carleen Haiwezekani,
Makiseo anajua hiloo...

Umenikumbusha kwenye Movie ya Mtanga,
Kaambiwa na Dada "wewe ni handsome"
Na kale ka muonekano kake haeleweki anachekaa au analia akajibu
"Wengi hua wananiambiaga"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeanza!!!!
 
Hawa ni watu ambao yani kila baada ya siku kadhaa wanakuja dukani ila hawanunui chochote zaidi ya kukuhangaisha.

- Wanataka bidhaa za juu, utapanda ngazi
-Utaenda hadi duka lingine kutafuta bidhaa wanayohitaji
-Utapukuta vumbi bidhaa wanayoulizia
-Kama ni Tv basi utaitoa kwenye boksi wao waitesti

Hapo ukiwa umejaa matumaini baada ya mihangaiko hii hawatanitupa, ghafla unaskia "tutapitia badae", inatia sana hasira!

Hawa watu ambao hawawezi kuwa wateja maana hawanunui kitu ni kero sana.

Umepumzika au unakula chakula mtu anakuja dukani kwako atakuhangaisha weee , naomba nione hicho, hebu kile, hiki sh ngapi, hebu nipunguzie, n.k , ,

Kesho tena ivyo ivyo, yani kila wiki lazima wapite hata mara 3.
Wengine wanapeleleza bei tu, halafu waje kukamata risti
Nawaza tu lkn
 
Muhindi ndiyo anawapiga bao hapo waswahili kwenye biashara.

Muhindi ukienda dukani kwake yeye ndi anajihangaisha kukuonyesha bidhaa zaidi ya zile unazoziulizia.

Hebu ifike mahali waswahili mjifunze cross-selling and up-selling.
 
Hawa ni watu ambao yani kila baada ya siku kadhaa wanakuja dukani ila hawanunui chochote zaidi ya kukuhangaisha.

- Wanataka bidhaa za juu, utapanda ngazi
-Utaenda hadi duka lingine kutafuta bidhaa wanayohitaji
-Utapukuta vumbi bidhaa wanayoulizia
-Kama ni Tv basi utaitoa kwenye boksi wao waitesti

Hapo ukiwa umejaa matumaini baada ya mihangaiko hii hawatanitupa, ghafla unaskia "tutapitia badae", inatia sana hasira!

Hawa watu ambao hawawezi kuwa wateja maana hawanunui kitu ni kero sana.

Umepumzika au unakula chakula mtu anakuja dukani kwako atakuhangaisha weee , naomba nione hicho, hebu kile, hiki sh ngapi, hebu nipunguzie, n.k , ,

Kesho tena ivyo ivyo, yani kila wiki lazima wapite hata mara 3.
Na Kwanini na ww usiwe na lugha nzuri ya kumuuliza je " unao shiling ngapi?"
 
Hawa ni watu ambao yani kila baada ya siku kadhaa wanakuja dukani ila hawanunui chochote zaidi ya kukuhangaisha.

- Wanataka bidhaa za juu, utapanda ngazi
-Utaenda hadi duka lingine kutafuta bidhaa wanayohitaji
-Utapukuta vumbi bidhaa wanayoulizia
-Kama ni Tv basi utaitoa kwenye boksi wao waitesti

Hapo ukiwa umejaa matumaini baada ya mihangaiko hii hawatanitupa, ghafla unaskia "tutapitia badae", inatia sana hasira!

Hawa watu ambao hawawezi kuwa wateja maana hawanunui kitu ni kero sana.

Umepumzika au unakula chakula mtu anakuja dukani kwako atakuhangaisha weee , naomba nione hicho, hebu kile, hiki sh ngapi, hebu nipunguzie, n.k , ,

Kesho tena ivyo ivyo, yani kila wiki lazima wapite hata mara 3.
Wewe sio mfanyabiasha i mean wewe sio mjasiriamali kabisa tena acha hiyo kazi waajiri vijana wakuuzie, umeenda dukani kukaa au kuchat au kula unataka asumbuliwe nani ebooo weka msukule basi, Watanzania mnashida gani
 
KWA WAMILIKI WA MADUKA
Je! unamiliki biashara ndogo na unapata changamoto katika upigaji hesabu?
suluhisho tunalo, huduma utakazozipata.
1) ukaguzi wa hesabu za biashara
2) hesabu za faida au hasara
3) ushauri
n.k
GHARAMA NI NDOGO

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom