Hawa wateja wanaoukuja kila mara dukani na kutuhangaisha muda mrefu bila kununua kitu tunadili nao vipi?

😂😂😂😂
 
Hao ndio wateja sasa.Wanafanya window shopping na mazoezi ya kununua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sina mbavu huku khaaaa, watu wananshangaa tyuuuuh
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Carleen Haiwezekani,
Makiseo anajua hiloo...

Umenikumbusha kwenye Movie ya Mtanga,
Kaambiwa na Dada "wewe ni handsome"
Na kale ka muonekano kake haeleweki anachekaa au analia akajibu
"Wengi hua wananiambiaga"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeanza!!!!
 
Ndiyoo....Mimi sijawahi kumuona@reyzzap kapishana na mtu.. Zaidi ya vituko vyake humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nadhani kama ipo lazima kuna mahali atachekesha tu..
Kwani dada mkubwa uliahidiwa punguzo la bei dukani kwake.?? Maana si kwa sifa hizi na mapambio..!!
 
Wengine wanapeleleza bei tu, halafu waje kukamata risti
Nawaza tu lkn
 
Muhindi ndiyo anawapiga bao hapo waswahili kwenye biashara.

Muhindi ukienda dukani kwake yeye ndi anajihangaisha kukuonyesha bidhaa zaidi ya zile unazoziulizia.

Hebu ifike mahali waswahili mjifunze cross-selling and up-selling.
 
Na Kwanini na ww usiwe na lugha nzuri ya kumuuliza je " unao shiling ngapi?"
 
Wewe sio mfanyabiasha i mean wewe sio mjasiriamali kabisa tena acha hiyo kazi waajiri vijana wakuuzie, umeenda dukani kukaa au kuchat au kula unataka asumbuliwe nani ebooo weka msukule basi, Watanzania mnashida gani
 
KWA WAMILIKI WA MADUKA
Je! unamiliki biashara ndogo na unapata changamoto katika upigaji hesabu?
suluhisho tunalo, huduma utakazozipata.
1) ukaguzi wa hesabu za biashara
2) hesabu za faida au hasara
3) ushauri
n.k
GHARAMA NI NDOGO

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…