Sasa tusemeje mkuu, Samia kasema jana kuna wimbi la tatu, na leo legacy ya Mwendawazimu imeondoka.Mpaka kufika 2025, tunaweza kuwa na mkuu wa kaya/wakuu wa kaya wengine wa kurithi zaidi ya huyu wa sasa kama kweli Covid ndio inahusika na si vinginevyo.
Na wamechangia sana ”nyuchi ” mbovumbovu wazinzi wakubwa hawa,Magufuli, Kijazi na Mfugale Hawa watu kwa miaka 20 iliyopita wamefanya kazi kwa karibu sana kati ya TANROADS na Ujenzi. Hao wameshirikiana sana kugawana rushwa itokanayo na mikataba ya Ujenzi.
Ndiyo kisa wakawa wanabatiza madaraja kwa majina yao. Siyo ajabu kuona wote wanaondoka kwa COVID19
Mdau was twitter kigogo anasema wengi wana ngoma,covid anafanya kuzitoboa tuLabda kwa kuwa umenena wewe ndio itaeleweka.
Wewe utanitanguliaMdau was twitter kigogo anasema wengi wana ngoma,covid anafanya kuzitoboa tu
Na wewe nadhani huna muda mrefu
walitumia pesa zetu kuvulua wanawake😅😅Mdau was twitter kigogo anasema wengi wana ngoma,covid anafanya kuzitoboa tu
Na wewe nadhani huna muda mrefu
vifo viko tofauti. Kuna watu wanakufa na kupitiliza moja kwa moja jehanamu. Acha wakavune walichopanda. Hili ni somo kawamba bjnadamu tunapita. Wajifunze unyenyekevu.Kifo ni kifo tu hakuna mwenye kutegua hicho kitendawili..sisi ndio tunajaribu kuunganisha dots ..wewe binafsi angalia katika maisha yako umeondokewa na watu wa karibu yako wangapi...seif sharif na huyu fr privatus Kalugendo na wenyewe ni wa karibu na hayati?tuwe waangalifu aisee
Mkuu uwe na amani tu.Magufuli, Kijazi na Mfugale Hawa watu kwa miaka 20 iliyopita wamefanya kazi kwa karibu sana kati ya TANROADS na Ujenzi. Hao wameshirikiana sana kugawana rushwa itokanayo na mikataba ya Ujenzi.
Ndiyo kisa wakawa wanabatiza madaraja kwa majina yao. Siyo ajabu kuona wote wanaondoka kwa COVID19
Tunakumbushana tu mtoa mada na wadau wengine tuendelee kuchukua tahadhar ktk kila jambo hakuna anaejua hatma yakeHabari Wakuu.
Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule?
Yaani Bwana Yule na watu wake wa karibu wanaondoka mmoja baada ya mwingine huku yule mwingine akiponea chupu chupu baada ya Covid kumlaza kitandani na kulazimika kutumia mtungi kuokoa maisha yake ingawa leo kapanda cheo.
Ni hii Covid ndio inatumika kuwaondoa maana kwa Bongo imekuwa ni too much katika kuondoa vigogo( anyway, labda ni kwasababu wanaipuuza).
Yaani kwa sasa picha zao za pamoja, zinaonyesha jinsi walivyopukutika mmoja baada ya mwingine.
Kwa mtazamo wangu, hali hii sio ya kawaida wakuu unless ni hisia zangu tu.
Magufuli, Kijazi na Mfugale Hawa watu kwa miaka 20 iliyopita wamefanya kazi kwa karibu sana kati ya TANROADS na Ujenzi. Hao wameshirikiana sana kugawana rushwa itokanayo na mikataba ya Ujenzi.
Ndiyo kisa wakawa wanabatiza madaraja kwa majina yao. Siyo ajabu kuona wote wanaondoka kwa COVID19
Na waondoke tu kwa maana Watanzania wengi wameteseka kwa manufaa yao binafsi!Habari Wakuu.
Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule?
Yaani Bwana Yule na watu wake wa karibu wanaondoka mmoja baada ya mwingine huku yule mwingine akiponea chupu chupu baada ya Covid kumlaza kitandani na kulazimika kutumia mtungi kuokoa maisha yake ingawa leo kapanda cheo.
Ni hii Covid ndio inatumika kuwaondoa maana kwa Bongo imekuwa ni too much katika kuondoa vigogo( anyway, labda ni kwasababu wanaipuuza).
Yaani kwa sasa picha zao za pamoja, zinaonyesha jinsi walivyopukutika mmoja baada ya mwingine.
Kwa mtazamo wangu, hali hii sio ya kawaida wakuu unless ni hisia zangu tu.
Baada ya miaka 10 kuanzia sasa, panapo majaliwa yote yaliyomo sirini yatawekwa bayana...Hii aina mpya ya WMD itatumika sana.Habari Wakuu.
Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule?
Yaani Bwana Yule na watu wake wa karibu wanaondoka mmoja baada ya mwingine huku yule mwingine akiponea chupu chupu baada ya Covid kumlaza kitandani na kulazimika kutumia mtungi kuokoa maisha yake ingawa leo kapanda cheo.
Ni hii Covid ndio inatumika kuwaondoa maana kwa Bongo imekuwa ni too much katika kuondoa vigogo( anyway, labda ni kwasababu wanaipuuza).
Yaani kwa sasa picha zao za pamoja, zinaonyesha jinsi walivyopukutika mmoja baada ya mwingine.
Kwa mtazamo wangu, hali hii sio ya kawaida wakuu unless ni hisia zangu tu.
Hakuna kitu kibaya zaidi maishani kwa mtu yeyote kuwa na "ujinga na uoga" kwa pamoja kwa wakati mmoja.Kwa mtazamo wangu, hali hii sio ya kawaida wakuu unless ni hisia zangu tu.
Wewe naona unawazak kama mimi yaani una hisia zinazofanana na zangu kuhusu hivi vifo kwa namna fulani.Aisee mi nahisi ni hivi,
Aliyemweka madarakani J ndiye anayefanya hii kazi, hii kazi inafanyika kwa haraka haraka kwa sababu watu wa karibu na J kuna mambo ambayo wanayafahamu kwaiyo wanaondelewa ili kuficha ukweli ambao siku moja ungesemwa.
Kifo cha J kina mauzauza nyuma yake na kuna watu wanafahamu ila Hawapo kwenye kundi lile, hawa wote siku zao ziko mikononi mwa watu.