Ngeleja .. Bilioni 500 za umeme wa mgao wa kutengeneza ..
Muhongo ..mkataba wa dharura wa wa kuuza gesi Kwa wawekezaji ..
Na mipango yake ya kuongeza badala ya kupunguza wazalishaji umeme wa binafsi
Na kumpa mzigo mwananchi wa wa kulipa capacity charges..
Nyalandu..vitalu vya kuwinda ..inajulikana
Kigwangala ..huyu kuanzia vitalu Hadi kugawa pesa Kwa kina shilole...
Ndungulile ....hivi alipewa nini na makampuni ya simu Hadi wakatumia
Loophole ya msiba kuwabambikia watu bei mpya huku Kodi ni zilezile?
Wengine mtaongezea..

Makonda hafai kabisa,uyo ndio anawanunulia bando wasukuma wenzie wanamtukana mama mtandaoni,na isitoshe pia ni kiburiMakonda apewe dhamana. Anaendana na speed ya Mama.
Makonda na Sabaya kama mapacha....Makonda apewe dhamana. Anaendana na speed ya Mama.
Makonda na Sabaya kama mapacha....
Kasi gani, wakalinde kaburi huko hawana kazi mjini.Mitano tena kwao wanaendana na kasi ya Mama sio
Ngeleja .. Bilioni 500 za umeme wa mgao wa kutengeneza ..
Muhongo ..mkataba wa dharura wa wa kuuza gesi Kwa wawekezaji ..
Na mipango yake ya kuongeza badala ya kupunguza wazalishaji umeme wa binafsi
Na kumpa mzigo mwananchi wa wa kulipa capacity charges..
Nyalandu..vitalu vya kuwinda ..inajulikana
Kigwangala ..huyu kuanzia vitalu Hadi kugawa pesa Kwa kina shilole...
Ndungulile ....hivi alipewa nini na makampuni ya simu Hadi wakatumia
Loophole ya msiba kuwabambikia watu bei mpya huku Kodi ni zilezile?
Wengine mtaongezea..
Uyo muuwajiMakonda apewe dhamana. Anaendana na speed ya Mama.
Mungu atawaondoa kama alivyomuondoa MaguHao watu wanafanya hivyo kwasababu ya system inayowalinda, hao hawatarudi lakini ndio walishatupiga, na sasa kama uonavyo kila mwaka wanaibuka wengine wanatupiga na bado wanalindana tu, na wataibuka wengine watatupiga, nionavyo hili tatizo litaendelea kwa muda mrefu sana as long as CCM is still there at the top.
Kuna Yule KM Pale Ujenzi sijui Kapewaje ile nafasi Jamaa yule ameumiza watu sana.Kuwasingizia watu mambo ya uongo Anaitwa Joseph Malongo.Mama awafukuze wafuatao Buswelo Mganga,Dotto James,Mambosasa,
Mama aamuru Ole Sabaya akamatwe popote alipo na afungwe gereza lolote lililo karibu nae.
Mama naye ni shabiki wa utekaji ?Makonda apewe dhamana. Anaendana na speed ya Mama.
Hafai mpumbavu yuleMakonda apewe dhamana. Anaendana na speed ya Mama.