Kabisa yaaniUkifatilia siasa zetu na jinsi tunavyopigwa pesa kila iitwapo leo unatamani hata ungekua raia wa burundi tu,
Tuamini bado watanyooshwa tu hawa wezi kama si na bosi wao basi hata na Mungu mkuu alie mbinguni

hiyo gesi ni yako? hapo gesi utanunua kule maji ni bure
Ali wahi kushughulikiwa Rizimoko mtoto wa mshua sembuse huyu Mmasai pori Saabaya jina lenyewe utopoloSABAYA ni kirusi kwenye nchi hii lazima kiangamizwe!!
Sabaya aliyefanya insubordination kwa RC, alichomoa miwani na kukunja ndita, akiachwa kuna siku mtakuta kamwekea ndita bi mkubwa...Ole sabaya
Ndugai hafai kuliongoza bunge. Hana sifa ya kuwa kiongozi sehemu yoyote.Wengine mtaongezea..
Hivi hata aibu hamna kupendekeza wahalifu wawe viongozi wenu ?