DENLSON
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 957
- 1,281
Una chuki na Mh. Ndungulile? Yeye ndio alie pandisha bei? Yeye ndie aliyeongeza kodi?Ngeleja - Bilioni 500 za umeme wa mgao wa kutengeneza ..
Muhongo - Mkataba wa dharura wa wa kuuza gesi Kwa wawekezaji na mipango yake ya kuongeza badala ya kupunguza wazalishaji umeme wa binafsi na kumpa mzigo mwananchi wa wa kulipa capacity charges.
Nyalandu - Vitalu vya kuwinda inajulikana
Kigwangalla - Huyu kuanzia vitalu hadi kugawa pesa kwa wasanii.
Ndugulile - Hivi alipewa nini na makampuni ya simu hadi wakatumia loophole ya msiba kuwabambikia watu bei mpya huku kodi ni zilezile?
Wengine mtaongezea..
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app