Hawa watu wasirudi kwenye Uongozi, Rais Samia ashauriwe vizuri

Hawa watu wasirudi kwenye Uongozi, Rais Samia ashauriwe vizuri

Mkuu una mawazo gani Kuhusu Mradi wa Uzalidhaji Umeme wa Stiegliers ambao sasa upo sijui 50% au 80%
Sina Hakika Sana,
Uendelee au Tuuvunje?
Tutumie gas?

Miradi ya Marehemu JPM isiendelee maana inahitaji kutumia fedha nyingi kuihudumia. Majizi na mafisadi watakosa fedha za kuiba kirahizi. Miradi ya kifisadi kama ule wa dege Kigamboni DSM utakosa fedha za kuufufua wakati wa meshaalikwa warudi shamba la Bibi liko huru. Mijizi ilio kimbia rudini mkiwa mmeandaa/mmenoa meno tayari tayari kutafua pale mlipo achia awamuile.
 
Mkuu una mawazo gani Kuhusu Mradi wa Uzalidhaji Umeme wa Stiegliers ambao sasa upo sijui 50% au 80%
Sina Hakika Sana,
Uendelee au Tuuvunje?
Tutumie gas?
Unamuuliza mtu mwwnye Iq ndogo unategemea akujib swal kama hlo?
 
Ngeleja - Bilioni 500 za umeme wa mgao wa kutengeneza ..

Muhongo - Mkataba wa dharura wa wa kuuza gesi Kwa wawekezaji na mipango yake ya kuongeza badala ya kupunguza wazalishaji umeme wa binafsi na kumpa mzigo mwananchi wa wa kulipa capacity charges.

Nyalandu - Vitalu vya kuwinda inajulikana

Kigwangalla - Huyu kuanzia vitalu hadi kugawa pesa kwa wasanii.

Ndugulile - Hivi alipewa nini na makampuni ya simu hadi wakatumia loophole ya msiba kuwabambikia watu bei mpya huku kodi ni zilezile?

Wengine mtaongezea..
Hivi hata wewe mkuu umeingia huu mkenge eti makampuni ya simu yanatupiga? Ukiona serikali inanywea ujue kuna kitu ndani ya gunia. Haiwezekani eti makampuni yazuke tu kibabe!
 
Mitano tena kwao wanaendana na kasi ya Mama sio
Aisee
JamiiForums1566382546.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifatilia siasa zetu na jinsi tunavyopigwa pesa kila iitwapo leo unatamani hata ungekua raia wa burundi tu,
Tuamini bado watanyooshwa tu hawa wezi kama si na bosi wao basi hata na Mungu mkuu alie mbinguni
 
watarudi tu kwenye uongozi mradi tu kikwete karudi basi wote watarudi huoni makufuli anavyosingiziwa mambo ili aonekane hafai

Kusingiziwa vipi mkuu? Mbona CAG baada ya kuweka ripoti kwamba Clouds wamepiga milioni 600 mbona Clouds walikuja kusema kwamba risiti wanazo? Kwahiyo ATCL tunapata faida? Mbona hata Assad alisema kwamba ATCL inaleta hasara? Kwanini MEKO aliondoa ATCL kuipeleka ikulu ili isikguliwe? Kwanini isikaguliwe wakati ni shirika la umma? MEKO alikuwa Fisadi mkuu.
 
Makonda hafai kabisa,uyo ndio anawanunulia bando wasukuma wenzie wanamtukana mama mtandaoni,na isitoshe pia ni kiburi
Wewe ni mbirikimo kabiaa wa fikra,kila unachocomenti ni wasukuma,wasukuma sio watanzania?, hivi tunaongelea uadilifu wa mtu au tunaongelea kabila la mtu?
 
Wewe ni mbirikimo kabiaa wa fikra,kila unachocomenti ni wasukuma,wasukuma sio watanzania?, hivi tunaongelea uadilifu wa mtu au tunaongelea kabila la mtu?
wasukuma ndio mmechachamaa mitandaoni kumtukana madam president, makonda ndio anawanunulia bundle
 
Ngeleja - Bilioni 500 za umeme wa mgao wa kutengeneza ..

Muhongo - Mkataba wa dharura wa wa kuuza gesi Kwa wawekezaji na mipango yake ya kuongeza badala ya kupunguza wazalishaji umeme wa binafsi na kumpa mzigo mwananchi wa wa kulipa capacity charges.

Nyalandu - Vitalu vya kuwinda inajulikana

Kigwangalla - Huyu kuanzia vitalu hadi kugawa pesa kwa wasanii.

Ndugulile - Hivi alipewa nini na makampuni ya simu hadi wakatumia loophole ya msiba kuwabambikia watu bei mpya huku kodi ni zilezile?

Wengine mtaongezea..
Hiyo ya Ndungulile utakauwa unamuonea tu,bei zilianza kupanda tangu mwishoni mwa February tena kwa asilimia mia moja,nakumbuka nilikuwa nikitoa elfu tano napata GB 5 kwa wiki, lakini ikapanda ikawa elfu tano hiyo napata GB 2.5 ambayo ndiyo bei ya sasa. Labda kosa lake ni kutudanganya kuwa hizo bei zitashuka
FB_IMG_1617438255160.jpg
 
Back
Top Bottom