Una chuki na Mh. Ndungulile? Yeye ndio alie pandisha bei? Yeye ndie aliyeongeza kodi?Ngeleja - Bilioni 500 za umeme wa mgao wa kutengeneza ..
Muhongo - Mkataba wa dharura wa wa kuuza gesi Kwa wawekezaji na mipango yake ya kuongeza badala ya kupunguza wazalishaji umeme wa binafsi na kumpa mzigo mwananchi wa wa kulipa capacity charges.
Nyalandu - Vitalu vya kuwinda inajulikana
Kigwangalla - Huyu kuanzia vitalu hadi kugawa pesa kwa wasanii.
Ndugulile - Hivi alipewa nini na makampuni ya simu hadi wakatumia loophole ya msiba kuwabambikia watu bei mpya huku kodi ni zilezile?
Wengine mtaongezea..
UmerogwaMakonda apewe dhamana. Anaendana na speed ya Mama.
Huyo hafai mpumbavuKama mama Samia atamrudisha makonda Tena heshima ninayompa itakuwa baaasi Sina Mengi ya kusema
Naona ndiyo unatoka kunywa wanzuki bado umelewawatarudi tu kwenye uongozi mradi tu kikwete karudi basi wote watarudi huoni makufuli anavyosingiziwa mambo ili aonekane hafai
Hawafai hata kidogoMakonda na Sabaya kama mapacha....
Nashauri apelekwe isanga ndiyo size yakeMama awafukuze wafuatao Buswelo Mganga,Dotto James,Mambosasa,
Mama aamuru Ole Sabaya akamatwe popote alipo na afungwe gereza lolote lililo karibu nae.
Hapana,makonda Ana tamaa,aliacha kuongoza watu milioni sita,akaenda gombea kuongoza watu laki tano kigambonino.Makonda apewe dhamana. Anaendana na speed ya Mama.
Watu wakapumzike naeNashauri apelekwe isanga ndiyo size yake
Job Ndugai......aliruhusu bunge kuwa kibogoyo na kuendeshwa kwa rimoti ya maguNgeleja - Bilioni 500 za umeme wa mgao wa kutengeneza ..
Muhongo - Mkataba wa dharura wa wa kuuza gesi Kwa wawekezaji na mipango yake ya kuongeza badala ya kupunguza wazalishaji umeme wa binafsi na kumpa mzigo mwananchi wa wa kulipa capacity charges.
Nyalandu - Vitalu vya kuwinda inajulikana
Kigwangalla - Huyu kuanzia vitalu hadi kugawa pesa kwa wasanii.
Ndugulile - Hivi alipewa nini na makampuni ya simu hadi wakatumia loophole ya msiba kuwabambikia watu bei mpya huku kodi ni zilezile?
Wengine mtaongezea..
Hao watu wanafanya hivyo kwasababu ya system inayowalinda, hao hawatarudi lakini ndio walishatupiga, na sasa kama uonavyo kila mwaka wanaibuka wengine wanatupiga na bado wanalindana tu, na wataibuka wengine watatupiga, nionavyo hili tatizo litaendelea kwa muda mrefu sana as long as CCM is still there at the top.
Job Ndugai......aliruhusu bunge kuwa kibogoyo na kuendeshwa kwa rimoti ya magu
Huo tuutumie na gesi tutumie.Mkuu una mawazo gani Kuhusu Mradi wa Uzalidhaji Umeme wa Stiegliers ambao sasa upo sijui 50% au 80%
Sina Hakika Sana,
Uendelee au Tuuvunje?
Tutumie gas?
Nimecheka kwa nguvuKasi gani, wakalinde kaburi huko hawana kazi mjini.
CCM watu kama hao ndio huwa wanang'aa mkuu.Kuna Yule KM Pale Ujenzi sijui Kapewaje ile nafasi Jamaa yule ameumiza watu sana.Kuwasingizia watu mambo ya uongo kabisa.Anaitwa Joseph Malongo.
Nashauri uvunjwe huo mradiMkuu una mawazo gani Kuhusu Mradi wa Uzalidhaji Umeme wa Stiegliers ambao sasa upo sijui 50% au 80%
Sina Hakika Sana,
Uendelee au Tuuvunje?
Tutumie gas?
Nashangaa mpaka sasa Ole Sabaya yupo uraiani.Mama awafukuze wafuatao Buswelo Mganga,Dotto James,Mambosasa,
Mama aamuru Ole Sabaya akamatwe popote alipo na afungwe gereza lolote lililo karibu nae.
Nashauri uvunjwe huo mradi
Muacheni afanye biashara na GSM!!! Atamtia mama nuksi bure kwani mahasimu wake watapata kitu cha kusema!!Makonda apewe dhamana. Anaendana na speed ya Mama.
MaRC na MaDC uchwara, majambazi, watesi, wanyang’anyi; wakiongozwa na Sabaya.