Kwanini unafikiria kuvunja mradi ambao serikali imeweka pesa nyingi za wananchi mkuu?Mkuu una mawazo gani Kuhusu Mradi wa Uzalidhaji Umeme wa Stiegliers ambao sasa upo sijui 50% au 80%
Sina Hakika Sana,
Uendelee au Tuuvunje?
Tutumie gas?
Mkuu una mawazo gani Kuhusu Mradi wa Uzalidhaji Umeme wa Stiegliers ambao sasa upo sijui 50% au 80%
Sina Hakika Sana,
Uendelee au Tuuvunje?
Tutumie gas?
Hiyo aya ya pili naunga mkono hoja kwa nguvu zote. Akamatwe.Mama awafukuze wafuatao Buswelo Mganga,Dotto James,Mambosasa,
Mama aamuru Ole Sabaya akamatwe popote alipo na afungwe gereza lolote lililo karibu nae.
Una hasira!Nashauri uvunjwe huo mradi
Unamuuliza mtu mwwnye Iq ndogo unategemea akujib swal kama hlo?Mkuu una mawazo gani Kuhusu Mradi wa Uzalidhaji Umeme wa Stiegliers ambao sasa upo sijui 50% au 80%
Sina Hakika Sana,
Uendelee au Tuuvunje?
Tutumie gas?
Hivi hata wewe mkuu umeingia huu mkenge eti makampuni ya simu yanatupiga? Ukiona serikali inanywea ujue kuna kitu ndani ya gunia. Haiwezekani eti makampuni yazuke tu kibabe!Ngeleja - Bilioni 500 za umeme wa mgao wa kutengeneza ..
Muhongo - Mkataba wa dharura wa wa kuuza gesi Kwa wawekezaji na mipango yake ya kuongeza badala ya kupunguza wazalishaji umeme wa binafsi na kumpa mzigo mwananchi wa wa kulipa capacity charges.
Nyalandu - Vitalu vya kuwinda inajulikana
Kigwangalla - Huyu kuanzia vitalu hadi kugawa pesa kwa wasanii.
Ndugulile - Hivi alipewa nini na makampuni ya simu hadi wakatumia loophole ya msiba kuwabambikia watu bei mpya huku kodi ni zilezile?
Wengine mtaongezea..
hiyo gesi ni yako? hapo gesi utanunua kule maji ni bureMkuu una mawazo gani Kuhusu Mradi wa Uzalidhaji Umeme wa Stiegliers ambao sasa upo sijui 50% au 80%
Sina Hakika Sana,
Uendelee au Tuuvunje?
Tutumie gas?
watarudi tu kwenye uongozi mradi tu kikwete karudi basi wote watarudi huoni makufuli anavyosingiziwa mambo ili aonekane hafai
Hivi hata aibu hamna kupendekeza wahalifu wawe viongozi wenu ?Makonda apewe dhamana. Anaendana na speed ya Mama.
Umeonaeeee?Watu wakapumzike nae
Ndugaye ni mjanja sana anajitahidi kucheza mziki wa mamaJob Ndugai......aliruhusu bunge kuwa kibogoyo na kuendeshwa kwa rimoti ya magu
watarudi tu kwenye uongozi mradi tu kikwete karudi basi wote watarudi huoni makufuli anavyosingiziwa mambo ili aonekane hafai
Wewe ni mbirikimo kabiaa wa fikra,kila unachocomenti ni wasukuma,wasukuma sio watanzania?, hivi tunaongelea uadilifu wa mtu au tunaongelea kabila la mtu?Makonda hafai kabisa,uyo ndio anawanunulia bando wasukuma wenzie wanamtukana mama mtandaoni,na isitoshe pia ni kiburi
wasukuma ndio mmechachamaa mitandaoni kumtukana madam president, makonda ndio anawanunulia bundleWewe ni mbirikimo kabiaa wa fikra,kila unachocomenti ni wasukuma,wasukuma sio watanzania?, hivi tunaongelea uadilifu wa mtu au tunaongelea kabila la mtu?
Hiyo ya Ndungulile utakauwa unamuonea tu,bei zilianza kupanda tangu mwishoni mwa February tena kwa asilimia mia moja,nakumbuka nilikuwa nikitoa elfu tano napata GB 5 kwa wiki, lakini ikapanda ikawa elfu tano hiyo napata GB 2.5 ambayo ndiyo bei ya sasa. Labda kosa lake ni kutudanganya kuwa hizo bei zitashukaNgeleja - Bilioni 500 za umeme wa mgao wa kutengeneza ..
Muhongo - Mkataba wa dharura wa wa kuuza gesi Kwa wawekezaji na mipango yake ya kuongeza badala ya kupunguza wazalishaji umeme wa binafsi na kumpa mzigo mwananchi wa wa kulipa capacity charges.
Nyalandu - Vitalu vya kuwinda inajulikana
Kigwangalla - Huyu kuanzia vitalu hadi kugawa pesa kwa wasanii.
Ndugulile - Hivi alipewa nini na makampuni ya simu hadi wakatumia loophole ya msiba kuwabambikia watu bei mpya huku kodi ni zilezile?
Wengine mtaongezea..
Amesingiziwa kwamba ndege zinaingiza hasara au?watarudi tu kwenye uongozi mradi tu kikwete karudi basi wote watarudi huoni makufuli anavyosingiziwa mambo ili aonekane hafai