Hawa watu wasirudi kwenye Uongozi, Rais Samia ashauriwe vizuri

Ukifatilia siasa zetu na jinsi tunavyopigwa pesa kila iitwapo leo unatamani hata ungekua raia wa burundi tu,
Tuamini bado watanyooshwa tu hawa wezi kama si na bosi wao basi hata na Mungu mkuu alie mbinguni
Kabisa yaani
 
hiyo gesi ni yako? hapo gesi utanunua kule maji ni bure

Sema tuu hujanielewa mimi na wewe tuko Pamoja!
Umeme wa Maji ni Rahsi sana...
Sdma Kuna Wapigaji wanataka Kuukwamidha Huo Mradi kisa Gas!
Ndo Maana Nikauliza aswali Kichokozi
 
Nape mzee wa goli la mkono alitembelea magoti kwenda kumwomba msamaha mungu mtu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…