Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Ni kweli kuna mambo ya ajabu sana mkuu na huwa yanasababisha vifo ila viongozi hawawezi ingilia uhuru kikatiba wa kuabudu. Ni sisi wasikilizaji kuzitumia akili zetu kutambua wapigaji ni wepi na ndio maana hata kuna makamali kibao yanaendeshwa nchini watu wanafilisika lakini serikali haingilii kwa kuwa hakuna jinai dhidi ya Jamhuri.Imani inasaidia lakini si imani za namna hii kufanya watu machizi mkuu.
Marufuku yasiwe general yaangalie baadhi ya huduma kama hizi. Umesahau Arusha watu kadhaa waliwahi poteza maisha kwa kukanyaga mafuta ya upako