Hawa Wayemen, Pakistan na Iraq ni wa Uislam upi? Mbona Dubai na Saudia ni watu poa sana?

Hawa Wayemen, Pakistan na Iraq ni wa Uislam upi? Mbona Dubai na Saudia ni watu poa sana?

Vita vyote vinasababishwa na political intervention ,kama hao siku wakiingiliwa basi hapatokuwa na amani .

Baadhi ya nchi kama Afghanstan ,syria hata utu unatoweka ,wameteswa sana na wazungu machafuko kila siku ...Kawaida mnyonge siku akichoka ni balaa.

Nchi za arabuni pana amani hakuna ,sema ni hawa wazungu kutaka kulazimisha mila zao , serikali pandikizi ndio tatizo.

Taliban sasa angalau wana mipango ya kiuchumi japo matatizo ya vibaraka yapo .

Kiufupi sehemu walizopita wazungu sio salama ,wameacha majanga matupu pale kaburu South Africa ndio usiseme ..Watu weny asili ya ugaidi na matukio ya hovyo ni bara la America huko Mexico ,uruguay
Unaongea as if unayewajua Waislam na waarabu ni wewe tu
 
ndani ya uislamu kuna madhehebu kuna hao shia ndiyo hatari wanaamini kuwa kuna mtu wao anaitwa mahd atakuja kuwaokoa watu kutoka mikononi mwa makafiri(israel) wao walishajiekea hilo kuwa ipo siku watashinda ndiyo maana mentality yao kuiondoa ni ngumu.

wapo wengine wamebakia na misingi ya jihadi hawa ni sunni hivyo lolote ufanyalo wao hawaelewi wanataka dola,wasiwe chini ya uongozi wa kisekula.

tupoi sisi bakwata tumekubaliu kuendeshwa kama maboya.
BAKWATA ni dhehebu ?
 
Hivi ni kwann panapo tokea vita kwenye nchi za waislam ni lazima watu huwa wanarazimisha ionekane imesababishwa na dini na sio siasa?
Wao wenyewe ndiyo hunasbisha Vita,ugaidi na uislam.
 
Tatizo ni kuwa propaganda ya kuuchafua Uislamu na waarabu kwa ujumla imetapakaa sana kwenye jamii za kikiristo, kwahiyo ni ngumu sana kuelewa uhalisia wamazingira. Hizo nchi zote ulizozitaja kama Yemen na Syria, Sudan, Libya na wenziwe ni nchi zeneye machafuko ya kisiasa hazina tofauti na kama Congo au ilivyokuwa uganda miaka ya 70's-80's, ila inavyo promotiwa katika jamii za kikristo ni vyengine kabisa.
UAE ni mmoja ya nchi bora kabisa, watu wake ni wakarimu sana. nimeawahi kufika na nimeshuhudia mambo mengi ya ki utu mazuri ambayo hapa kwetu TZ ni ngumu kukutana nayo.
Waislam wanaishi kwa amani sana kwenye nchi za Kikristo Ila Wàkristo wanaishi kwa tabu sana nchi za kiislamu.

Ulishawahi kusikia msikiti umechomwa Moto kwenye nchi za Kikristo ? Hali ni tofauti sana kwenye nchi za kiislam wàkristo wanaishi Kama mbwa Koko mfano mzuri ni Egypt wàkristo kila siku wanalipuliwa makanisani
 
Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza nikaulizwa kama nimekula, nikapelekwa kula kisha ndo wakanikalisha chini kunielekeza.

Overall experience ilifanya niwaheshimu sana watu wa Dubai. Kwa sasa kila nikienda kule basi najitahidi hata nivae kama wao kabisa sababu ya heshima niliowapa kwa kile kitendo. Na si mm tu, mtu yyt ukiachana na hawa wazamiaji lazima upewe ukarimu sana ukiwa dubai

Dubai na emirates kwa ujumla ni wakarimu sana, usiende tu kama mtumwa, sabab hata sisi weusi kwa weusi tunatesana kwa watu walio chini yetu, that's human nature. Ila generally waarabu wa Dubai na Abu dhabi ni watu poa sana.

Ndo maana sishangai hata Ronaldo kuadopt kabisa maisha ya kule, wanavyokutreat tu lazima na ww utawaheshimu

Hawa wengine walipua mabom kila siku sijui uislam wao ni wa wapi, siujui uislam ila kama ningekua muislam ningechagua huu uislam wa dubai.
SoMo dogo:
Hakuna Uislamu wa aina unazosema ila Kuna tofauti kwenye kutasiri theolojia kati ya Suni na Shia.
Ukija kwenye nchi hizo zenye vita huwa wanapigania siasa na ukabila na chokochoko zilizo pandikizwa na Marekani (rejea Iraq, Afghanistan na Libya).
Yapo mengi yanayo sababisha vurugu mathalan Waislamu wanaoteswa na kuuwawa Mynmar na Palestine,wanaofungwa na kuteswa kwa kuamini tuu dini yao jimbo la Xinjiang China unata wanyamaze tuu?
 
Waislam wanaishi kwa amani sana kwenye nchi za Kikristo Ila Wàkristo wanaishi kwa tabu sana nchi za kiislamu.

Ulishawahi kusikia msikiti umechomwa Moto kwenye nchi za Kikristo ? Hali ni tofauti sana kwenye nchi za kiislam wàkristo wanaishi Kama mbwa Koko mfano mzuri ni Egypt wàkristo kila siku wanalipuliwa makanisani

hizo ni porojo tu zisizo na kichwa wala miguu.
 
Kwani Iraq kabla ya kusingiziwa kuwa na silaha za sumu kuvamiwa kijeshi walikuwa waarabu wa aina gani......Yemen kadhaalika si miaka kadhaa nyuma ndio imeingizwa kwenye vita walikuwa waarabu wa namna gani??? Kadhaalika libya
 
Back
Top Bottom