Hawa Wayemen, Pakistan na Iraq ni wa Uislam upi? Mbona Dubai na Saudia ni watu poa sana?

Weee..wananyonga kama mbuzi hao, waangalie hivyohivyo tu.Ni familia chache ndo zinamiliki hizo nchi, wanajikuta wanajipendekeza kwa wazungu, wansinvest kwao, wanawakaribisha kwao ili wajitengenezee security.
Unamkumbuka "KASHOG" Msaudia mwenzao huyu _ walimdissolve kwenye pipa la Acid huyu..alikuwa mwandishi wa habari...
Sasa kama wanaweza mfanya hivi mwenzao sembuse wengine....???
Hio ni kawaida hata Magufuli alifanya kwa njia nyingine.

Kwenye utawala lazima ulinde himaya yako.

Hapa mimi naongelea overall experience ya kuishi kule kama raia wa kawaida tu au kama mgeni mwenye kazi maalum.

Kashog na ben saanane ni case ile ile tu japo different timezones
 
Medias zinawa portray vibaya, hao jamaa wanaonekana wakorofi ni kwa sababu wamechokozwa na wanapigania haki zao.

Hata hao watalibani wa Afghanistan ni jamaa wako poa sana, hawana kelele na mtu.

Nchi za magharibi ndizo chanzo .
20231011_121906.jpg

reply yako inanikumbusha hiyo siku.
 
Vita vyote vinasababishwa na political intervention ,kama hao siku wakiingiliwa basi hapatokuwa na amani .

Baadhi ya nchi kama Afghanstan ,syria hata utu unatoweka ,wameteswa sana na wazungu machafuko kila siku ...Kawaida mnyonge siku akichoka ni balaa.

Nchi za arabuni pana amani hakuna ,sema ni hawa wazungu kutaka kulazimisha mila zao , serikali pandikizi ndio tatizo.

Taliban sasa angalau wana mipango ya kiuchumi japo matatizo ya vibaraka yapo .

Kiufupi sehemu walizopita wazungu sio salama ,wameacha majanga matupu pale kaburu South Africa ndio usiseme ..Watu weny asili ya ugaidi na matukio ya hovyo ni bara la America huko Mexico ,uruguay
 
ndani ya uislamu kuna madhehebu kuna hao shia ndiyo hatari wanaamini kuwa kuna mtu wao anaitwa mahd atakuja kuwaokoa watu kutoka mikononi mwa makafiri(israel) wao walishajiekea hilo kuwa ipo siku watashinda ndiyo maana mentality yao kuiondoa ni ngumu.

wapo wengine wamebakia na misingi ya jihadi hawa ni sunni hivyo lolote ufanyalo wao hawaelewi wanataka dola,wasiwe chini ya uongozi wa kisekula.

tupoi sisi bakwata tumekubaliu kuendeshwa kama maboya.
 
Mbona mlet
Kwenye moja una pointi ila naona kama unahamisha mpira vile. Tunajua waislam haohao ndo waliwadhulumu wakristo na kuwalazimisha kuchukua dini yao, na kuwageuza watu wa hovyo na huo uislam feki wa kulipuana lipuana. Mfano St Agustino of Hippo yule nadhan alikua Algeria, na pia huwa kuna Tetesi algeria waliwahi kutoa hadi papa, ila kwa sasa algeria ni nchi ya kiislam

Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza nikaulizwa kama nimekula, nikapelekwa kula kisha ndo wakanikalisha chini kunielekeza.

Overall experience ilifanya niwaheshimu sana watu wa Dubai. Kwa sasa kila nikienda kule basi najitahidi hata nivae kama wao kabisa sababu ya heshima niliowapa kwa kile kitendo. Na si mm tu, mtu yyt ukiachana na hawa wazamiaji lazima upewe ukarimu sana ukiwa dubai

Dubai na emirates kwa ujumla ni wakarimu sana, usiende tu kama mtumwa, sabab hata sisi weusi kwa weusi tunatesana kwa watu walio chini yetu, that's human nature. Ila generally waarabu wa Dubai na Abu dhabi ni watu poa sana.

Ndo maana sishangai hata Ronaldo kuadopt kabisa maisha ya kule, wanavyokutreat tu lazima na ww utawaheshimu

Hawa wengine walipua mabom kila siku sijui uislam wao ni wa wapi, siujui uislam ila kama ningekua muislam ningechagua huu uislam wa dubai.

Mbona mleta mada umejichanganya sana. Dubai na Abudhabi inahusiana nini na Ronaldo?
 
tatizo ni vita,hata Saudia na Dubai siku wakapiganishwa vichwa tutawaona wakorofi.Libya kabla ya vita hapakua na shida ila walipotibuliwa sahii hapakaliki.
 
Kama umechokozwa ukajilipue ukaue watu wasio na hatia halafu useme ni watu wazuri?
Waarabu ni magaidi. Mfano hai Libya.
Tunisia pale kuna mwafrika mzamiaji alichomwa kisu na mwaarabu kisa wanaogopa watazaa na dada zao na rangi ya uarabu itapotea, cha kushangaza wakifanikiwa kuingia ulaya wanapokelewa na kupewa uraia
Waarabu Hapana

Hao wanaouwa wasio na hatia una uhakika ni waislamu? Una ushahidi kama uislamu umehalalisha kuuwa wasio na hatia?

Huko Israel 🇮🇱 badala kupigana na Hamas, wao wanauwa watoto/raia wasio na hatia, ni haki hiyo? Hao ndio wazuri, taifa teule!

Mkuu, wewe hapo hujui chochote kuhusu uislamu, subiri umauti ukufike ndio utajua mbivu na mbichi, pumzi yako inakupa kibri.
 
🤣🤣😂😂😂
 
Mbona mlet

Mbona mleta mada umejichanganya sana. Dubai na Abudhabi inahusiana nini na Ronaldo?
Rudia tena kusoma.

Au swaumu kali nini? Nimesemea Saudia anakochezea Ronaldo siku hizi
 
Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza nikaulizwa kama nimekula, nikapelekwa kula kisha ndo wakanikalisha chini kunielekeza.

Overall experience ilifanya niwaheshimu sana watu wa Dubai. Kwa sasa kila nikienda kule basi najitahidi hata nivae kama wao kabisa sababu ya heshima niliowapa kwa kile kitendo. Na si mm tu, mtu yyt ukiachana na hawa wazamiaji lazima upewe ukarimu sana ukiwa dubai

Dubai na emirates kwa ujumla ni wakarimu sana, usiende tu kama mtumwa, sabab hata sisi weusi kwa weusi tunatesana kwa watu walio chini yetu, that's human nature. Ila generally waarabu wa Dubai na Abu dhabi ni watu poa sana.

Ndo maana sishangai hata Ronaldo kuadopt kabisa maisha ya kule, wanavyokutreat tu lazima na ww utawaheshimu

Hawa wengine walipua mabom kila siku sijui uislam wao ni wa wapi, siujui uislam ila kama ningekua muislam ningechagua huu uislam wa dubai.
Hao sio waislamu pure, uislamu wenyewe unasema kaa mbali na kagiri ikiwezekana mtoa roho uwe na amani
 
Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza nikaulizwa kama nimekula, nikapelekwa kula kisha ndo wakanikalisha chini kunielekeza.

Overall experience ilifanya niwaheshimu sana watu wa Dubai. Kwa sasa kila nikienda kule basi najitahidi hata nivae kama wao kabisa sababu ya heshima niliowapa kwa kile kitendo. Na si mm tu, mtu yyt ukiachana na hawa wazamiaji lazima upewe ukarimu sana ukiwa dubai

Dubai na emirates kwa ujumla ni wakarimu sana, usiende tu kama mtumwa, sabab hata sisi weusi kwa weusi tunatesana kwa watu walio chini yetu, that's human nature. Ila generally waarabu wa Dubai na Abu dhabi ni watu poa sana.

Ndo maana sishangai hata Ronaldo kuadopt kabisa maisha ya kule, wanavyokutreat tu lazima na ww utawaheshimu

Hawa wengine walipua mabom kila siku sijui uislam wao ni wa wapi, siujui uislam ila kama ningekua muislam ningechagua huu uislam wa dubai.
Jamii yeyote yenye umasikini, ujinga na misimamo mikali ni hatari sana kuishi.
 
Ulichokiona Dubai ni picha ya Uislamu pale wanapoachwa wawe wao kama wao, ila unachokiona Yemen na kwengineko kwenye purukushani ni picha ya waislamu wanaopambana kupigana na foreign intruders.

Swali la kujiuliza kwa hao unaosema wanajilipua ni kuwa je wanajilipua in an offensive mission au ni defensive response? Hata simba dume huwa ni mpole sana ikiwa hakuna Simba dume mwengine aliyevamia territory yake.
 
Napata mantiki fln kwenye maelezo yako
 
Back
Top Bottom