Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
- Thread starter
- #21
Hio ni kawaida hata Magufuli alifanya kwa njia nyingine.Weee..wananyonga kama mbuzi hao, waangalie hivyohivyo tu.Ni familia chache ndo zinamiliki hizo nchi, wanajikuta wanajipendekeza kwa wazungu, wansinvest kwao, wanawakaribisha kwao ili wajitengenezee security.
Unamkumbuka "KASHOG" Msaudia mwenzao huyu _ walimdissolve kwenye pipa la Acid huyu..alikuwa mwandishi wa habari...
Sasa kama wanaweza mfanya hivi mwenzao sembuse wengine....???
Kwenye utawala lazima ulinde himaya yako.
Hapa mimi naongelea overall experience ya kuishi kule kama raia wa kawaida tu au kama mgeni mwenye kazi maalum.
Kashog na ben saanane ni case ile ile tu japo different timezones