Hawa Wayemen, Pakistan na Iraq ni wa Uislam upi? Mbona Dubai na Saudia ni watu poa sana?

Unaongea as if unayewajua Waislam na waarabu ni wewe tu
 
BAKWATA ni dhehebu ?
 
Hivi ni kwann panapo tokea vita kwenye nchi za waislam ni lazima watu huwa wanarazimisha ionekane imesababishwa na dini na sio siasa?
Wao wenyewe ndiyo hunasbisha Vita,ugaidi na uislam.
 
Waislam wanaishi kwa amani sana kwenye nchi za Kikristo Ila Wàkristo wanaishi kwa tabu sana nchi za kiislamu.

Ulishawahi kusikia msikiti umechomwa Moto kwenye nchi za Kikristo ? Hali ni tofauti sana kwenye nchi za kiislam wàkristo wanaishi Kama mbwa Koko mfano mzuri ni Egypt wàkristo kila siku wanalipuliwa makanisani
 
SoMo dogo:
Hakuna Uislamu wa aina unazosema ila Kuna tofauti kwenye kutasiri theolojia kati ya Suni na Shia.
Ukija kwenye nchi hizo zenye vita huwa wanapigania siasa na ukabila na chokochoko zilizo pandikizwa na Marekani (rejea Iraq, Afghanistan na Libya).
Yapo mengi yanayo sababisha vurugu mathalan Waislamu wanaoteswa na kuuwawa Mynmar na Palestine,wanaofungwa na kuteswa kwa kuamini tuu dini yao jimbo la Xinjiang China unata wanyamaze tuu?
 

hizo ni porojo tu zisizo na kichwa wala miguu.
 
Kwani Iraq kabla ya kusingiziwa kuwa na silaha za sumu kuvamiwa kijeshi walikuwa waarabu wa aina gani......Yemen kadhaalika si miaka kadhaa nyuma ndio imeingizwa kwenye vita walikuwa waarabu wa namna gani??? Kadhaalika libya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…