Hercule Poirot
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,786
- 1,591
Mkuu PAYE ni income tax piaChief
Kuna Income Tax
Na VAT
VAT kila mtanzania analipa
PAYE ajira rasmi wanalipa
Income Tax msio ajira rasmi ndo jukumu lenu
Ila kulipa hamtaki
Huduma nzuri za umma mnataka
hata hii ya simu Mwigulu sijui aendelee kubana tu mana hamna avenue nyingine fasta kuwapata
Watumishi bora hata hio PAYE wanalipahalafu asilimia 3 wanabebewa bango wawalipie asilimia 97 kodi. Na kuna haja sasa ya kupunguza ukubwa wa taasisi zote za umma. Wanatumia hela nyingi. Technology can make alot of those works redudant. Kwanini haitumiki??
Mfano sielewi hizi tripu zisizo isha za Dodoma Dar kwa watumishi wa umma. Nyingi hazina sababu na ni mzigo mkubwa sana kwa walipa kodi.
Wananchi tunataka maendeleo. Tusifanye tena utani kwenye kutafuta maendeleo. kama kujibana, iwe kwetu sote kama watanzania, hata wale waliopewa madaraka. tanzania ni yetu sote tusijipendelee
SijakataaMkuu PAYE ni income tax pia
Yaani ipelekwe kabisa sheria hata wasio sekta rasmi itafutwe namna walipe. Huo ndio uzalendoHizi tax exemptions ni ujinga wa ajabu sana; totally unpatriotic. Any personal income that exceeds the tax-exempt maximum should be taxed; no matter who the recipient is!
Salute......Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nap walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..
Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..
1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..
Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.
Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..
Something has to be done....
Tunasolve vipi suala la mobility ya machinga?Yaani ipelekwe kabisa sheria hata wasio sekta rasmi itafutwe namna walipe. Huo ndio uzalendo
Nchi nyingi kodi ya mapato/income tax ndio inachangia pakubwa.
Hapa kwetu wanabanwa tu walio sekta rasmi
Kuna Siri kubwa sana ndani ya nchi yetu. Mshahara wa Rais na marupurupu yake ni siri. Mawaziri. Wabunge, Wakuu wa Mikoa/Wilaya, DEDs etc wote hawa mishahara yao ni siri kubwa na wengi wao hawalipi hata senti moja ya kodi.
Sina hakika, ila nadhani mishahara ya ma RAS na DAS wanakatwa kodiIfike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nap walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..
Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..
1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..
Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.
Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..
Something has to be done....
Sheria ipo ya ukadiriajiYaani ipelekwe kabisa sheria hata wasio sekta rasmi itafutwe namna walipe. Huo ndio uzalendo
Nchi nyingi kodi ya mapato/income tax ndio inachangia pakubwa.
Hapa kwetu wanabanwa tu walio sekta rasmi
Kigezo cha mtu kuwa kiongozi iwe ni tax record, pia kigezo cha mtu mtu kutumbuliwa kiwe ni kutoku file returns za kodi at least 3 monthSerikali haipo Tu serious..
Anatakiwa awepo afisa Kodi kila kata..
Wanatoa leseni na kufatilia..
Eneo la kata ni dogo sana
Atawajua wote..
Kingine tax returns owe kwa kila mtu
Hii itasababisha kila mtu adai risiti na Ku file return...
Ukiingia supermarket kununua pipi moja unapewa risiti..why ashindwe muuza chips?
Nina fikra tofauti kuhusu machinga, hawa waliopo wanachangia ukwepaji wa kodi na kuzuia "semi formal" sector kukua.Tunasolve vipi suala la mobility ya machinga?
sema hawa wa sikuhizi hata hawamove wana vibanda japo temporary
Hawa watu wa DIT/Vyuo vikuu vya IT waje na ubunifu wa mashine au app za kurekodi mali inayoingia na kutoka/kuuzwa na hawa wafanyabishara waso rasmi. App/mashine hizo ziwe za gharama nafuu na kila mfanyabiashara wa chini awe nayoSheria ipo ya ukadiriaji
Kwa wasio na rekodi rasmi
simple way
ni mauzo yajulikane
Afu tuanzie hapo
Tanzania wangeweka utaratibu wa matumizi ya tax returns,nahisi hiyo ingeongeza walipa kodiSerikali haipo Tu serious..
Anatakiwa awepo afisa Kodi kila kata..
Wanatoa leseni na kufatilia..
Eneo la kata ni dogo sana
Atawajua wote..
Kingine tax returns owe kwa kila mtu
Hii itasababisha kila mtu adai risiti na Ku file return...
Ukiingia supermarket kununua pipi moja unapewa risiti..why ashindwe muuza chips?
Shida nayoiona viongozi wetu wamejisahau , hawaishi tena maisha ya wananchi wanaowaongoza.Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nap walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..
Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..
1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..
Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.
Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..
Something has to be done....
Tunasolve vipi suala la mobility ya machinga?
sema hawa wa sikuhizi hata hawamove wana vibanda japo temporary
Ni kweli a lil bit of creativity can go a long way na Govt watakusanya sanaTunaji endekeza kwa kukumbatia u mediocre saana..
Njia ya kuwadhibiti machinga nyepesi ipo..
Hata akiwa mobile...
Wanatoa wapi bidhaa? Tunaweza kuwadhibiti huko wanapo nunua...akakkatwa kodi zote huko huko au akaandikiwa kodi zake kabisa
Hujiulizi swali moja?Wanatoa wapi bidhaa?
Technology zipo tele..mfano kila bidhaa ya machinga iwe na Barcode tu
Afisa kodi anapitisha kwenye mashine yake kama supermarket vile inataja kodi stahiki..
Wao hawazalishi wala kui import why iwe shida kuwa dhibiti?
Nina fikra tofauti kuhusu machinga, hawa waliopo wanachangia ukwepaji wa kodi na kuzuia "semi formal" sector kukua.
Kwanza , tufafanue machinga ni nani na auze nini. Huwezi kuwa machinga ukawa unauza bidhaa sawa na za dukani kama redio, nguo, viatu nk. Wenye maduka walipe kodi, wao machinga walipe alfu 20 tu. Huu ni upuuzi.
Machinga waruhusiwe kuuza bidhaa za kilimo na zile walizochonga/unda kwa mikono yao. Bidhaa zote za viwandani ziuzwe kwenye sekta rasmi/maduka.
Hao wanaotembeza mikanda na nguo mbili tatu ni ukosefu wa ajira na upotevu wa nguvumali kwa taifa ambayo ingetumika vizuri kwenye sekta nyingine rasmi kama viwanda na kilimo (sera nzuri zinahitajika)