Mkuu hakuna sehemu kubwa inayoweza kuingiza kipato kikubwa kama Kariakoo hilo wajanja wanajua hata TRA wanajua,
Lakini Kariakoo ndio wakwelaji waku wa wa kodi hakuna Risiti Jana nilienda Mtaa wa Naduka ya viatu Narung’ombe nadhani ile,Pale unakatia baada ya Msimbazi Police,Au DDC kushoto maduka karibia yoote ya Underground kuna Maduka ya Viatu balaaa Kote huko Hupati risiti Na Ukidai hupewi Pia,
Sasa Ingia maduka yale ya Underground ya Chini yanauza Viatu balaa,Kuna wacongoman,Zambia wanakuja kununua yaani Hakuna cha Risiti wala nini,
Yaani Kule underground ni Maduka ya Viatu tuu na Hakuna Mashine ya Kodi,Kama zipo Ni Kuonyesha TRA baaasi but hawalipi,Hakuna wa Kuwabana,
Ila Angekuwepo Afisa Kata wa TRA hata 10 kwa kila Kata Serikali ingepata Kodi sana,,
TRA na serikali walichojifunxa toka Nchi za wenzetu ni Kwamba Elimu kwa Kila Mtu ili alipe kodi,kweli wenzetu Ulaya Mtu ana feel kulipa Kodi,Sisi Masuala ya Elimu yangeenda sambamba na Kuwabana hawa wafanyabiashara,Sasa huko Ndio wangekuwepo hata Tiss kwa ajili ya Kuchunguza biashara hizo Sio wakalie mambo ya siasa tuu!
Nimeanza na Kariakoo ila hata Sehemu nyingine kubwa pia hawalipi!
Ila Kariakoo wanaongoza aisee anaebisha anabisha ili kuwalinda ila Ukienda Kule maduka ya Chini no Risiti na biashara inafanyika mnoo!