GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 5,208
- 7,049
Hata sekta isiyo rasmi tupo tunaolipa Ila tu wachache. TRA wanapaswa kusajili kila mwenye shughuli inayomuingizia kipato. Hivyo vyeo alivyotaja Boss vikatwe kodi asilimia 50.Yaani ipelekwe kabisa sheria hata wasio sekta rasmi itafutwe namna walipe. Huo ndio uzalendo
Nchi nyingi kodi ya mapato/income tax ndio inachangia pakubwa.
Hapa kwetu wanabanwa tu walio sekta rasmi
Hivi Waziri wa fedha anaandika lakini?.