kidereko
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 881
- 1,269
Kodi ya mapato analipa mmiliki wa iko chombo, halafu dereva wa BODABODA alipe Kodi kwani ameajiliwa useme kuwa akatwe Paye,Mimi naongea Sana na bodaboda
Wengi wanaingiza kuanzia elfu 40 daily
Why wasilipe kodi?Kama wenye mishahara ya laki nnne Tu wanakatwa??
Mkuu hivi ushawai kufanya biashara ya vyombo vya Moto lakini????
TRA huwa wanakuwa na ukaguzi barabarani kila msimu wa Kodi, huwa wanaambatana na watu wa MAJEMBE AUCTION MART, wanakamata kila kinachoitwa chombo Cha moto ambacho Ni Cha biashara