black short
JF-Expert Member
- Nov 16, 2019
- 519
- 981
Hiyo hapo kodi za mafuta aoneHuyo jamaa anaongea tu hajui chochote, hakuna mmiliki wa dadadala asiyekuwa na TIN namba, pia kwenye mafuta ndio usipime wanalipa hadi ujenzi wa reli na REA
Hiyo hapo kodi za mafuta aoneHuyo jamaa anaongea tu hajui chochote, hakuna mmiliki wa dadadala asiyekuwa na TIN namba, pia kwenye mafuta ndio usipime wanalipa hadi ujenzi wa reli na REA
Kwenye daily income yao wanalipaje kodi?kwa taarifa yako tu wamiliki wa daladala wanalipa kodi. Hiyo gari haitembei bila hizo stika tatu/nne kwenye kioo upande wa kushoto za mapato-TRA, bima, barabara-LATRA,na stika za nenda kwa usalama barabarani-PoLICE. Tena daladala ndiyo zinalipa directly na indirectly taxes. kupitia kwenye mafuta wanayojaza petrol station.
UMEPANIKI DADANGU MPENZIMpumbuvu wewe..
Hapa tunazungumzia direct tax za Rais, MR, Mawaziri na wabunge.
CCM WOTEEE NI WATU WA MASLAHI BINAFSI.
Hakuna mtu mjinga Duniani kama huyu mgonjwa ghali kuliko woteSpika wa Bunge
We jamaaThee boss nimesoma uzi wako inaonekana uelewa wako ni mdogo kuhusu suala la kodi kwenye nchi hii.Acha kuleta uzi zinazohusu suala la kitaalam ambalo huna uelewa nalo vizuri.
JF inatupa fulsa adimu ya kuandika tunachotaka chenye ukweli na chenye manufaa kwa wapitia uzi bila ya kujali kama kinagusa maslai ya mtu au kikundi cha watu lakin JF si mahala pa wapotoshaji.
Unapotosha wasomaji kwa kusema kundi la uliowataja hawalipi kodi yeyote hapa nchini.
Hivi unaposema hawalipi kodi yeyote unarejea aina ipi ya kodi au sheria ipo ya kodi nchini?
Kwenye nchi yetu kodi tunayokatwa kwenye mapato yetu imegawanyika katika makundi makuu mawili ,yaana kodi ya moja kwa moja kwenye mapato yetu(direct Tax) ina ile kodi inayokatwa kwenye mapato yetu bila ya sisi kujua pale tunapofanywa manunuzi ya bidhaa au huduma zenye kodi husika(Indirect Tax).
Hakuna mtu yoyote mwenye kipato kwenye nchii hii ambaye unaweza kudai kwamba halipi kodi yeyote.Hata afanyeje lazima atalipa moja kati ya kodi zifuatazo aidha “Tax from investment income” au “Tax from employment income” au “Tax from Business income” au “Value added Tax”(VAT) or any other types of Indirect taxes such as mobile phones transations indirect taxes.
Na nyinyi watu wa TRA mnatakiwa muwe faster kujibu watu kama hawa wanaopotosha najua baadhi yenu mpo humu JF.Kukaa kimya kwa kitengo cha Elimu kwa umma TRA kunatia shaka na doa utendaji kazi wenu .
The Boss ingia Darasa la kodi litakusaidia kuondoa ujinga wako kwenye ufahamu wa kodi nchini pia unaweza kuja na uzi mwingine wa kuelimisha kuhusu kodi nchini.
ARTICLE.
Yaani ndugu yangu mie mpinga tozo kubwa, nishatangulia Burundi aisee ingawa nitarudi jumapili Kigoma kuangalia mechi ya Simba Vs Yanga......... nimekubali yaishe.Ndiyo maana mwendawazimu mmoja asiyelipa kodi kasema tuhamie Burundi
Unalipa nauli ya DAR to Mwanza TZS50,000 alafu unapewa ka risiti ambayo haioneshi kua kodi ni kiasi gani...upuuzi mtupu. Hapo njiani Abiria wanapanda na kushuka wengi.
Kwani Rais sio mtumishi?
Das? DC sio watumishi?Why hawalipi PAYE?
Hao wote hawalipi kodi..
Hata mshahara wa askofu unatakiwa kukatwa PAYE..wa Imam vile vile..
Bodaboda wanatakiwa wakupe Risiti za efd..
Madalali wa nyumba..
We jamaa
Machinga analipa income tax ipi
Hapati kipato?bodaboda je?
wabunge wanalipa PAYE ipi?.
Wana mishahara hawana?
VAT na tozo ta uzalendo ndo kila mtu analipa
ila sio income tax
rudi shule wewe
We jamaa
Machinga analipa income tax ipi
Hapati kipato?bodaboda je?
wabunge wanalipa PAYE ipi?.
Wana mishahara hawana?
VAT na tozo ta uzalendo ndo kila mtu analipa
ila sio income tax
rudi shule wewe
Kodi gani?Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..
Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..
1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..
Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.
Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..
Something has to be done....