Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,120
Hata boda boda Kodi iko kwenye mafuta.Wamiliki wa daladala wanalipa kodi ndio maana kuna sticker za mapato
Halafu madereva na mabashite na wenyewe wanalipa kodi maana wapo fungu 1 na raia wengineHata boda boda Kodi iko kwenye mafuta.
Hao WOTE wanalipa KodiMpumbuvu wewe..
Hapa tunazungumzia direct tax za Rais, MR, Mawaziri na wabunge.
CCM WOTEEE NI WATU WA MASLAHI BINAFSI.
Hawa wanaokula mlo mmoja kodi ni kiduchu Sana aisee.Tuache kudanganyana hapa. Kila mtanzania analipa kodi aisee.
Kama hatalipa kupitia mshumaa basi atalipa kupitia mafuta ya taa...
Hii nchi imechezewa sana!
Kodi haipo ili imuumize mwananchi. Waliotoa kodi ya kichwa hawakua wajinga. Waliweka utaratibu ambao hakika umezaa matunda.Hawa wanaokula mlo mmoja kodi ni kiduchu Sana aisee.
Inatakiwa wale milo 3,wamudu mahitaji Ili walipe zaidi
Kwani Rais sio mtumishi?
Das? DC sio watumishi?Why hawalipi PAYE?
Hao wote hawalipi kodi..
Hata mshahara wa askofu unatakiwa kukatwa PAYE..wa Imam vile vile..
Bodaboda wanatakiwa wakupe Risiti za efd..
Madalali wa nyumba..
Aliushusha kwa sheria ipi? Tuanzie hapo kwanza au zilikuwa NGONJERA tu hawa POLITICIANS wote ni wasanii wapo pale kwa ajili yao na family zao kaa ukijua hilo .Naomba kujua huyu namba moja aliyepo analipwa ngapi kama basic salary ili tujue tunaweza vuna sh ngapi kama kodi?
Nakumbuka Mkwere aliondoka akiwa na mshahara wa 35m kwa mwezi, Jiwe akaushusha hadi 9m.
Hao 13 NA 14 ndo wawe mstari wa mbele kupeleka kwa Kaizari vilivyo vya Kaizari
Kwani hizo si wanazihamishia kwa abiria wao,haziwagusi moja kwa moja mkuuHao bodaboda na daladala hizo shilingi 100/lita wanazokatwa ni za mikojo au wanzuki?
Haya nimekwambia wewe sasa, nyie watu ndio mnaofanya Raisi watanzania aonekane anaongoza maiti
Uko sahihi...na wewe ni maiti nambari mojaHaya nimekwambia wewe sasa, nyie watu ndio mnaofanya Raisi watanzania aonekane anaongoza maiti
Hawa walitakiwa walipe japo hata 20% ya kodi labsa wangeweza kubivaa viatu vya wananchi na watumishi wengineIfike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..
Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania...
Wanafanya siri wakati ni kodi zetu? Hawa watu ni wachumia tumbo kabisaKuna Siri kubwa sana ndani ya nchi yetu. Mshahara wa Rais na marupurupu yake ni siri. Mawaziri. Wabunge, Wakuu wa Mikoa/Wilaya, DEDs etc wote hawa mishahara yao ni siri kubwa na wengi wao hawalipi hata senti moja ya kodi.
Mkuu kumbe hawakatei PAYE? hakuna kitu inaniuma kama PAYE, hii itanifanya niache kazi maana nakatwa sio chini ya laki tano kila mweziKwani Rais sio mtumishi?
Das? DC sio watumishi?Why hawalipi PAYE?
Hao wote hawalipi kodi..
Hata mshahara wa askofu unatakiwa kukatwa PAYE..wa Imam vile vile..
Bodaboda wanatakiwa wakupe Risiti za efd..
Madalali wa nyumba..