Hawa wote hawalipi KODI hapa Tanzania

Hawa wote hawalipi KODI hapa Tanzania

Mkuu kumbe hawakatei PAYE? hakuna kitu inaniuma kama PAYE, hii itanifanya niache kazi maana nakatwa sio chini ya laki tano kila mwezi

Hawakatwi wote hao...very sad
 
Hawa wote ni wahujumu uchumi wa taifa, haiwezekani unasimamia kodi na kuwapangia wengine kodi mpya na kuwatolea kauli za kuhama nchi au kuwaita si wazalendo halafu wewe unajitenga. Si sawa kabisa, mnatuvunja moyo wajitoleaji wa kulipa bila shuruti.
 
Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..

Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania....
Wachezaji wa mpira wote
 
Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..

Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania.
Wananchi wa nchi hii tumegeuzwa ndondocha, wasiolipa kodi wanatuhamasisha sisi tulipe kodi eti kulipa kodi ni uzalendo, mamaae zao mbona wao hawalipi kodi kama ni wazalendo? Ndo maana mwananchi ukipata nafasi ya kuwapiga kwenye kodi,wapige tu maana ni upumbavu
 
Ccm wajanja sana mkuu.

wakiingiza kwenye kodi wanahipandishia mshahara...inakuwa bila bila
 
Thee boss nimesoma uzi wako inaonekana uelewa wako ni mdogo kuhusu suala la kodi kwenye nchi hii.Acha kuleta uzi zinazohusu suala la kitaalam ambalo huna uelewa nalo vizuri.

JF inatupa fulsa adimu ya kuandika tunachotaka chenye ukweli na chenye manufaa kwa wapitia uzi bila ya kujali kama kinagusa maslai ya mtu au kikundi cha watu lakin JF si mahala pa wapotoshaji.

Unapotosha wasomaji kwa kusema kundi la uliowataja hawalipi kodi yeyote hapa nchini.
Hivi unaposema hawalipi kodi yeyote unarejea aina ipi ya kodi au sheria ipo ya kodi nchini?

Kwenye nchi yetu kodi tunayokatwa kwenye mapato yetu imegawanyika katika makundi makuu mawili ,yaana kodi ya moja kwa moja kwenye mapato yetu(direct Tax) ina ile kodi inayokatwa kwenye mapato yetu bila ya sisi kujua pale tunapofanywa manunuzi ya bidhaa au huduma zenye kodi husika(Indirect Tax).

Hakuna mtu yoyote mwenye kipato kwenye nchii hii ambaye unaweza kudai kwamba halipi kodi yeyote.Hata afanyeje lazima atalipa moja kati ya kodi zifuatazo aidha “Tax from investment income” au “Tax from employment income” au “Tax from Business income” au “Value added Tax”(VAT) or any other types of Indirect taxes such as mobile phones transations indirect taxes.

Na nyinyi watu wa TRA mnatakiwa muwe faster kujibu watu kama hawa wanaopotosha najua baadhi yenu mpo humu JF.Kukaa kimya kwa kitengo cha Elimu kwa umma TRA kunatia shaka na doa utendaji kazi wenu .

The Boss ingia Darasa la kodi litakusaidia kuondoa ujinga wako kwenye ufahamu wa kodi nchini pia unaweza kuja na uzi mwingine wa kuelimisha kuhusu kodi nchini.

ARTICLE.
 
Eti kuna taasisi hazikaguliwi hesabu zao , hii kweli?

Hata hizo hesabu zenyewe sijui kama zinaandaliwa kwa mtindo huo.

Kuna mambo mengi sana yanashangaza!
 
Dawa ni kuja na mbinu ya kukusanya mapato kwenye kila biashara bila kujali ukubwa au udogo wake. Mambo ya kuwapa wengine haki ya kutolipa kodi kwa kisingizio ni wanyonge huku wengine wanakamuliwa hadi tone la mwisho yaishe. Ikifika hatua hiyo malalamiko mengi yatapungua.

Hayo maviongozi pia yalipe sehemu yao.
 
Hao bodaboda na daladala hizo shilingi 100/lita wanazokatwa ni za mikojo au wanzuki?
Huyo jamaa anaongea tu hajui chochote, hakuna mmiliki wa dadadala asiyekuwa na TIN namba, pia kwenye mafuta ndio usipime wanalipa hadi ujenzi wa reli na REA
 
Thee boss nimesoma uzi wako inaonekana uelewa wako ni mdogo kuhusu suala la kodi kwenye nchi hii.Acha kuleta uzi zinazohusu suala la kitaalam ambalo huna uelewa nalo vizuri.

JF inatupa fulsa adimu ya kuandika tunachotaka chenye ukweli na chenye manufaa kwa wapitia uzi bila ya kujali kama kinagusa maslai ya mtu au kikundi cha watu lakin JF si mahala pa wapotoshaji.

Unapotosha wasomaji kwa kusema kundi la uliowataja hawalipi kodi yeyote hapa nchini.
Hivi unaposema hawalipi kodi yeyote unarejea aina ipi ya kodi au sheria ipo ya kodi nchini?

Kwenye nchi yetu kodi tunayokatwa kwenye mapato yetu imegawanyika katika makundi makuu mawili ,yaana kodi ya moja kwa moja kwenye mapato yetu(direct Tax) ina ile kodi inayokatwa kwenye mapato yetu bila ya sisi kujua pale tunapofanywa manunuzi ya bidhaa au huduma zenye kodi husika(Indirect Tax).

Hakuna mtu yoyote mwenye kipato kwenye nchii hii ambaye unaweza kudai kwamba halipi kodi yeyote.Hata afanyeje lazima atalipa moja kati ya kodi zifuatazo aidha “Tax from investment income” au “Tax from employment income” au “Tax from Business income” au “Value added Tax”(VAT) or any other types of Indirect taxes such as mobile phones transations indirect taxes.

Na nyinyi watu wa TRA mnatakiwa muwe faster kujibu watu kama hawa wanaopotosha najua baadhi yenu mpo humu JF.Kukaa kimya kwa kitengo cha Elimu kwa umma TRA kunatia shaka na doa utendaji kazi wenu .

The Boss ingia Darasa la kodi litakusaidia kuondoa ujinga wako kwenye ufahamu wa kodi nchini pia unaweza kuja na uzi mwingine wa kuelimisha kuhusu kodi nchini.

ARTICLE.

Wewe ungesoma page zote uone wenzio walivyo changia usinge andika utopolo huu

Pitia michango ya wenzio wote kwanza..
 
Umeandika ujinga mtupu. Context ya mleta mada ni PAYE, hizo nyingine hata watoto wa primary wanalipa indirectly. Hii sio hoja hapa
 
Kuwa na kundi la baadhi ya watu wasiolipa kodi linatufanya tushindwe kupigania haki zetu za kimsingi,hii ni kutokana na ubinafsi kwa kuwa mimi silipi kodi mwache yeye amumie, ikitokea kuna jambo la kulipigania kwa maslahi ya vizaz vijavyo lazima wakukatae...
 
Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..

Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..

1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..

Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.

Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..

Something has to be done....
Halafu kuna mijitu inalipa kodi lakini imekazana kusema hatuhitaji katiba mpya. Kukosa elimu bora ni kitu kibaya sana
 
kwa taarifa yako tu wamiliki wa daladala wanalipa kodi. Hiyo gari haitembei bila hizo stika tatu/nne kwenye kioo upande wa kushoto za mapato-TRA, bima, barabara-LATRA,na stika za nenda kwa usalama barabarani-PoLICE. Tena daladala ndiyo zinalipa directly na indirectly taxes. kupitia kwenye mafuta wanayojaza petrol station.
 
Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..

Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..

1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..

Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.

Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..

Something has to be done....
Namba 1-12 ndio zinauma zaidi.
 
Back
Top Bottom