Hawa wote hawalipi KODI hapa Tanzania

Hawa wote hawalipi KODI hapa Tanzania

Ukiondoa wakulima wakubwa wa kibiashara niambie mkulima kule kijijini kwenu analipaje Kodi zaidi ya ushuru
Serikali inapotoa bei elekezi ya kununulia mazao huwa imeshakata tozo za kodi tayari. Tukiuza korosho kwa tshs 3,000, bei halisi inaweza kuwa 3,600, kwa hiyo 600 ni ushuru wa serikali.
 
Serikali inapotoa bei elekezi ya kununulia mazao huwa imeshakata tozo za kodi tayari. Tukiuza korosho kwa tshs 3,000, bei halisi inaweza kuwa 3,600, kwa hiyo 600 ni ushuru wa serikali.
Sijakuelewa yaani korosho uuze 3000 alafu ukatwe tozo bei elekezi iwe 3600. Kwaiyo apo unaona umelipa au umelipiwa na hiyo serikali sasa hiyo pesa(600) uliyolipiwa imetoka wapi
 
Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..

Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..

1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..

Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.

Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..

Something has to be done....
Taxi bubu ongezea na shughuli nyinginezo zisizo rasmi za kiuchumi ni vyanzo vizuri vya kodi visivyofikiwa
 
Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..

Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..

1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..

Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.

Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..

Something has to be done....
We kumbe huna akili, wamiliki wa daladala wanalipa Kodi ya mapato TRA, na wanapewa stika wanabandika kwenye kioo, Kuna kulipana ya miezi mitatu,ya miezi sita,miezi kumi na mbili, Kuna malipo ya LATRA, KUNA MALIPO YA VETA KWAJILI YA MSTARI,

NA BODABODA pia zinalipiwa Kodi ya mapato Kama hujui,madalali ambao wamesajiliwa pia wanalipa Kodi, wauza chips ambao wapo kwenye fremu ya biashara wanauza na vyakula vingine,pia wanakuwa na leseni ya biashara, na Kodi wanalipa,

We nahisi huna ujualo kumbe,
Dereva wa daladala au driver kwa ujumla unasemaje hawalipi Kodi?! Hizo leseni wanapewa na shangazi yako Chief,?
Mkuu kwa ukongwe wako na ulivyoviandika,nahisi ulikuwa umekunywa ulanzi au hujawai kufanya aina yoyote ya biashara,
Madaladala ikifika mwezi wa sita au December, watu wa majembe kwa kushirikiana na TRA huwa wanaingia barabarani kukagua magari ambayo hayajalipia income taxes,
Mkuu usilopoke usivyovijua,
 
Kwani Rais sio mtumishi?
Das? DC sio watumishi?Why hawalipi PAYE?

Hao wote hawalipi kodi..
Hata mshahara wa askofu unatakiwa kukatwa PAYE..wa Imam vile vile..

Bodaboda wanatakiwa wakupe Risiti za efd..
Madalali wa nyumba..
Umesahau Wabunge na Mawaziri
 
We kumbe huna akili, wamiliki wa daladala wanalipa Kodi ya mapato TRA, na wanapewa stika wanabandika kwenye kioo, Kuna kulipana ya miezi mitatu,ya miezi sita,miezi kumi na mbili, Kuna malipo ya LATRA, KUNA MALIPO YA VETA KWAJILI YA MSTARI,

NA BODABODA pia zinalipiwa Kodi ya mapato Kama hujui,madalali ambao wamesajiliwa pia wanalipa Kodi, wauza chips ambao wapo kwenye fremu ya biashara wanauza na vyakula vingine,pia wanakuwa na leseni ya biashara, na Kodi wanalipa,

We nahisi huna ujualo kumbe,
Dereva wa daladala au driver kwa ujumla unasemaje hawalipi Kodi?! Hizo leseni wanapewa na shangazi yako Chief,?
Mkuu kwa ukongwe wako na ulivyoviandika,nahisi ulikuwa umekunywa ulanzi au hujawai kufanya aina yoyote ya biashara,
Madaladala ikifika mwezi wa sita au December, watu wa majembe kwa kushirikiana na TRA huwa wanaingia barabarani kukagua magari ambayo hayajalipia income taxes,
Mkuu usilopoke usivyovijua,
Malipo ya leseni ni tofauti na malipo ya kodi ya mapato ( income tax).

Leseni ni kibali cha kufanya hiyo biashara na ipo "fixed" kiwango fulani kwa mwaka .

Kodi ya mapato hutofautiana na kiwango cha fedha unachoingiza kila mwezi. Uwepo utaratibu mzuri wa kurekodi mauzo ya watu kama Wauza chips na madereva taxi ili walipe kodi stahiki ya mapato.
 
Kweli inakosekana ubunifu.

Pia kuna kautegemezi flani kati ya wasiolipa kodi na watawala kubaki madarakani.

Inachangia kutokuwepo kwa msukumo wa uwajibikaji, wasiolipa kodi na viongozi wala kodi wanarelax tu kama hayawahusu
Halafu anayekamuliwa Kesho na Kesho kutwa anasikia kuna vibosile wamejilipa 1.6B et kwa posho ya kuandaa mpango wa manunuzi
 
Dada poaz je?

Utani pembeni - utawajuaje walipa kodi wako bila kuwasajili. NIDA mijizi tu.
Kama kawa, mambo ya hovyo hovyo kila kona
 
Serikali inaweza kufanya marufuku kwa mfanyabiashara kumuuzia mmachinga bidhaa
Bila TRA clearance..
TRA wanakuwepo wakati wamachinga wanapewa mizigo..kunakuwa na point za kuwauzia machinga kama kko na kwingineko
TRA wanawakatia hao machinga risiti zao na Kodi wanayotakiwa kulipa baada ya kuuza mzigo..basi wanatimua..

Hapo hata wazurure vipi ...
Wanakuwa kwa system na Kodi inajulikana ..
Serikali iwatambue wanao wauzia bidhaa wamachinga na kuwawekea Tu utaratibu baasi
Hi utatengenza mwanya mingine wa arusha na sio Kama itafanyakazi
 
Mkuu
Kuna Siri kubwa sana ndani ya nchi yetu. Mshahara wa Rais na marupurupu yake ni siri. Mawaziri. Wabunge, Wakuu wa Mikoa/Wilaya, DEDs etc wote hawa mishahara yao ni siri kubwa na wengi wao hawalipi hata senti moja ya kodi.
Mkuu wa mkoa 6,000,000 per month,, Mkuu was wilaya 4,000,000 per month wengine Sjui mishahara yao takwimu za mwaka jana
 
Aliyeua MKURABITA naye tunaomba afe kifo cha mende.
Ule ndio mpango mkakakati wa kulikomboa hili taifa.
 
Kila Mtu analipa kodi.
Wengine wanalipa Direct tax na Wengine Indirect Tax
Wengi ni wale wanaolipa Indirect Tax.
Coz kodi Hii kila unapofanya Purchase unakuwa umelipa.
Sawa Watu wangu!
Kwa hiyo Kila Raia wa Nchi hii au Mgeni anapofanya Manunuzi au Mauzo kuna kuwa Na Kodi inakatwa.
Hii inaitwa indirect.
Kwa Mantiki hiyo hata wewe unayelipa Direct tax ni lazima Indirect Tax ikuguse.
Ahsanteni
 
Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..

Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..

1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..

Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.

Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..

Something has to be done....
Sio kweli kuwa hao wote hawalipi kodi,kuna mahali wanalipa,wananunua bidhaa zenye kodi,wanakaa kwenye mahoteli wanalipa kodi,wananunua mafuta wanalipa kodi,sasa ni vizuri ueleze ni kodi zipi hawalipi na zipi wanalipa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom