Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,587
- 14,371
Na ww ukaamini kuwa jiwe alikuwa anapokea 9m?Naomba kujua huyu namba moja aliyepo analipwa ngapi kama basic salary ili tujue tunaweza vuna sh ngapi kama kodi?
Nakumbuka Mkwere aliondoka akiwa na mshahara wa 35m kwa mwezi, Jiwe akaushusha hadi 9m.
Hao 13 NA 14 ndo wawe mstari wa mbele kupeleka kwa Kaizari vilivyo vya Kaizari
Una uhakika jiwe alishusha mshahara wake? Yani akawa analipwa mshahara mdogo kuliko mawaziri wake?Naomba kujua huyu namba moja aliyepo analipwa ngapi kama basic salary ili tujue tunaweza vuna sh ngapi kama kodi?
Nakumbuka Mkwere aliondoka akiwa na mshahara wa 35m kwa mwezi, Jiwe akaushusha hadi 9m.
Hao 13 NA 14 ndo wawe mstari wa mbele kupeleka kwa Kaizari vilivyo vya Kaizari
Kwani ukiwa mfanya boashara hiyo 100 unapunguziwa?Hao bodaboda na daladala hizo shilingi 100/lita wanazokatwa ni za mikojo au wanzuki?
Hii nchi Ina Gesi mamilion of cubic. Lakini bado wanakimbizana na vihela vya ma MC ambao hawafiki hata 100,000.Nadhani umewashtua vyema, warasimishe hizi shughuli nyingine nyingi kama u-MC n.k, mtu kila wiki anaingiza 1.6m straight to the pocket un-taxed kisha vyanzo vipya vya mapato unasema ni tozo za miamala na laini ambapo kodi tayari ipo?....
na kodi ya mshikamano ni kwa nani?Kodi ipi inazungumzia!? Maana PAYE ni kwa wafanyakazi pekee.. VAT mtoa huduma, muuza budhaa na manunu bidhaa/huduma..
Hawa MATAGA walitanguliza maslahi mbele kwa kumsifu jiwe huku wakisahau huyo huyo ndio alisema millioni 9 haimtoshi huku kila huduma analipiwa kwa kodi za wananchi! PatheticUna uhakika jiwe alishusha mshahara wake? Yani akawa analipwa mshahara mdogo kuliko mawaziri wake?
Unawezaje kumwamini mtu aliyeokota vichwa vya treni bandarini ambavyo alituambia havikuwa na mwenyewe wakati tunaona kabisa vina nembo ya TRL?Hawa MATAGA walitanguliza maslahi mbele kwa kumsifu jiwe huku wakisahau huyo huyo ndio alisema millioni 9 haimtoshi huku kila huduma analipiwa kwa kodi za wananchi! Pathetic
We fala unafikiri suala la mshahara tena raisi ulipwa tu Kama anavyolipwa dada/kaka wa kazi japo hata hao inatakiwa kuwe na utaratibu wa malipo yao. Acha kutanua mat.koTuta
Tutajie Sheria iliyopo ya mshahara wa Rais...tuanzie hapo Kwanza..
Ukiondoa wakulima wakubwa wa kibiashara niambie mkulima kule kijijini kwenu analipaje Kodi zaidi ya ushuruNani kakwambia wakulima hatulipi kodi? Unajua kiasi cha kodi tunachokatwa ili tupate bei ya kuuzia mazao yetu? Kitu kama hukijui acha kuandika porojo
Naomba kujua huyu namba moja aliyepo analipwa ngapi kama basic salary ili tujue tunaweza vuna sh ngapi kama kodi?
Nakumbuka Mkwere aliondoka akiwa na mshahara wa 35m kwa mwezi, Jiwe akaushusha hadi 9m.
Hao 13 NA 14 ndo wawe mstari wa mbele kupeleka kwa Kaizari vilivyo vya Kaizari
Serikali inaweza kufanya marufuku kwa mfanyabiashara kumuuzia mmachinga bidhaa
Bila TRA clearance..
TRA wanakuwepo wakati wamachinga wanapewa mizigo..kunakuwa na point za kuwauzia machinga kama kko na kwingineko
TRA wanawakatia hao machinga risiti zao na Kodi wanayotakiwa kulipa baada ya kuuza mzigo..basi wanatimua..
Hapo hata wazurure vipi ...
Wanakuwa kwa system na Kodi inajulikana ..
Serikali iwatambue wanao wauzia bidhaa wamachinga na kuwawekea Tu utaratibu baasi
Mkuu hakuna sehemu kubwa inayoweza kuingiza kipato kikubwa kama Kariakoo hilo wajanja wanajua hata TRA wanajua,
Lakini Kariakoo ndio wakwelaji waku wa wa kodi hakuna Risiti Jana nilienda Mtaa wa Naduka ya viatu Narung’ombe nadhani ile,Pale unakatia baada ya Msimbazi Police,Au DDC kushoto maduka karibia yoote ya Underground kuna Maduka ya Viatu balaaa Kote huko Hupati risiti Na Ukidai hupewi Pia,
Sasa Ingia maduka yale ya Underground ya Chini yanauza Viatu balaa,Kuna wacongoman,Zambia wanakuja kununua yaani Hakuna cha Risiti wala nini,
Yaani Kule underground ni Maduka ya Viatu tuu na Hakuna Mashine ya Kodi,Kama zipo Ni Kuonyesha TRA baaasi but hawalipi,Hakuna wa Kuwabana,
Ila Angekuwepo Afisa Kata wa TRA hata 10 kwa kila Kata Serikali ingepata Kodi sana,,
TRA na serikali walichojifunxa toka Nchi za wenzetu ni Kwamba Elimu kwa Kila Mtu ili alipe kodi,kweli wenzetu Ulaya Mtu ana feel kulipa Kodi,Sisi Masuala ya Elimu yangeenda sambamba na Kuwabana hawa wafanyabiashara,Sasa huko Ndio wangekuwepo hata Tiss kwa ajili ya Kuchunguza biashara hizo Sio wakalie mambo ya siasa tuu!
Nimeanza na Kariakoo ila hata Sehemu nyingine kubwa pia hawalipi!
Ila Kariakoo wanaongoza aisee anaebisha anabisha ili kuwalinda ila Ukienda Kule maduka ya Chini no Risiti na biashara inafanyika mnoo!
Na watu kama wamachinga kwa mwezi wanaingiza pesa nyingo sana kuliko Mfanya kazi mwenye Degree kabisaIfike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..
Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..
1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..
Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.
Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..
Something has to be done....