sio mbaya ukituambia mkuuu ila kwa wewe una condition fuatayoHivii mkuu na siye tunapaswa tuseme tulitoa shilingi ngapi kuwasaidia wapenzi wetu wa kiume??
Nliwah kumpa 50,000...ila nliidai wakati tunaachana[emoji1][emoji1]sio mbaya ukituambia mkuuu ila kwa wewe una condition fuatayo
"uwe umempa wewe kwanza kabla hata siku 1 hujawahi kula senti yake yani tuambie
umeshawahi kutoa sh ngapi kwa mpenzi wako,na haukua umepokea hata sh kumi yake before"
maana nyie mnamtindo wa kuturudishia hela zetu zile zile tulizowapaga
Yes! Kwa maana ya kusaidiana, nieleweke mimi ndio huwa natoboka sana kwake,its my responsibility.ulimpa kwasababu anakupaga sio?
huo ndio ukweli halisiNgoja nami nisake girl..Inaonyesha maisha mepesi ukiwa na mpenzi