Tayari mpendwa
Jamaa hakunipa jibu la swali langu,Niliwahi kutoa laki mbili.
umeamua kumuita kabisa mkuu?
kabisa ulitoa laki mbili?
wewe sio wa kispot spot kumbe
Hahahah acha utundu mkuu. Anasimama na mimi kwenye shida why nisimsaidie nae akikwama kifedha.kabisa ulitoa laki mbili?
wewe sio wa kispot spot kumbe
kabisa sijawahi toa pesaYaani unataka kusema hujawahi kutoa hela kumpa mpenzi wako?
we mjamaaa banaMi nakuwa mjanja mjanja sana nikihisi kupigwa, ila najikuta naliwa vihela vidogo vidogo vingi mno.... kuna mmoja huyu nimejinasa majuzi tu hapa ghafla kodi ya nyumba inaisha mwezi huu.
Huyu namtafutia kisa nimkimbie tu, nitarudi Disemba kujiliza anipokee tena.... mi sijaimaliza kodi yake bhana.
Na hamsini.Kuna mtu atakuja kusema mwisho wake elfu saba mia nane
Na hamsini.
Mpendwa wa unyabeni auTayari mpendwa
[emoji3][emoji3]. Embu mtag mkuuKuna mtu atakuja kusema mwisho wake elfu saba mia nane