sio mbaya ukituambia mkuuu ila kwa wewe una condition fuatayo
"uwe umempa wewe kwanza kabla hata siku 1 hujawahi kula senti yake yani tuambie
umeshawahi kutoa sh ngapi kwa mpenzi wako,na haukua umepokea hata sh kumi yake before"
maana nyie mnamtindo wa kuturudishia hela zetu zile zile tulizowapaga
Hakuna mwanamke atamsaidia mwanaume kipesa, kama yupo bhas ni ndugu wa kike..
Nilikuwa kwenye mahaba niuwe ndugu[emoji23][emoji23]weee
Hawezi kuamini wanawake tuna kaugumu fulani 😄😄😄Kama hujamuamini vileee 😂 😂
wapo bhana
Nilikuwa kwenye mahaba niuwe ndugu
Kama hujamuamini vileee [emoji23] [emoji23]
Umeandika demu hiyo lazima ulipe[emoji1][emoji1]
Umeandika demu hiyo lazima ulipe😄😄
Angetakiwa kwenye demu aweke nini hapo et Hawa....