binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Yes maa, ngoja ni edit ikae vizuri.
Sijawahi dada..ila acha tu nizidi kukupa hongera.Ushawahi kujikuta unadate na mtu hana kitu kabisa? Yaani hata hela ya kula, hana Ada, hana kila kitu sasa tukitoka mi nasimamia show na mi napenda standard life hasaaa, so tukajadili afungue carwash ya kishkaji tu ndo nikaona nimsupport ili angalau nisiwe nalipa bills sababu sikuwa nafeel proud kufanya hivo.
Siwezi sema haiwezi tokea maana kesho yetu ni fumbo..ila nitamsaidia kimawazo afanye nini ili aweze jitegemea kiuchumi.Ikitokea unafanyaje mamdogo au haiwezi kabisa kutokea?