Hawachi: Mwisho wako kutoa pesa kumpa mpenzi ilikuwa kiasi gani?

Daah imeniuma Mwaka jana nlimnunulia iphone11 pro max...na tumeachana tareh 30 DEC......sijui niidai?
Sent from my tecno y3 using jamii forums app
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwezi wa 12 nimetoa laki 8 nimempa

sent from toyota Allex
 
Kwamfano demu akikukopesha elf 5 ni lazma umlipe na usipomlipa uhusiano unakufa, lkn ww mwanaume ukimkopesha demu elf 5, hata asipolipa uhusiano unaendelea cute eyes

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushasema demu lzm utalipa tuuu
 
Umeandika demu hiyo lazima ulipe๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Siku zote mm nasemaga, pesa ya mwanamke ni chungu sana, mwanamke hata kama analipwa tsh million 30 kwa mwezi, na mumewe analipwa tsh laki 2 kwa mwezi, bado ataitaka laki 2 ya mmewe igharamie asilimia 95 ya matumizi ya nyumbani, ..na mmewe akipewa sana hela, ataishia kupewa vielf 5 vya masimango

That is how selfish u women are, linapokuja swala la pesa zenu Hawachi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ