Hawachi: Mwisho wako kutoa pesa kumpa mpenzi ilikuwa kiasi gani?

Umeandika demu hiyo lazima ulipe😄😄

Siku zote mm nasemaga, pesa ya mwanamke ni chungu sana, mwanamke hata kama analipwa tsh million 30 kwa mwezi, na mumewe analipwa tsh laki 2 kwa mwezi, bado ataitaka laki 2 ya mmewe igharamie asilimia 95 ya matumizi ya nyumbani, ..na mmewe akipewa sana hela, ataishia kupewa vielf 5 vya masimango

That is how selfish u women are, linapokuja swala la pesa zenu Hawachi
 
Mpendwa mada inazungumzia yaani mwanamke aliwahi kujitolea kiasi gani kwa mpenzi wake,kuhusu comment yako hayo ni majukumu ya mume.
 

eeeh km mimi ila m nikupa lzm utarudisha kwa namna ambayo hutajua km unarudisha, af m nikikupa n lzm uwe umeshawah kunipa pia tena si zaidi ya mara moja..

na skupi hela nyingi zaid ya unazonipa yaan km unaishia kunipa laki bs ujue mim kukupa maybe elf 50
 
1.5M, 500k, 300k , ukiacha na hizi ndogo ndogo za hapa na pale. Nilikuwa nimemzidi mbali sana kwa kipato. Tulikuja achana baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…