Hawapo romantic au huyu hanipendi tu?

Hawapo romantic au huyu hanipendi tu?

Ukiwa na mm tutazaa mtoto romantic kwa mkewe kwa kuwa atakuwa anatuona sisi wazazi wake tunavyoishi na kudamshi.
Basi kama hutaki kumuacha Mchaga wako niwe spea tairi,niutulize na kuukosha moyo wako kwa mahabubati ya kila aina.
Hii ni neema kupata mwalimu wa kukupa full dose ya mahaba.
Huyo mchaga wako wazazi wake walikuwa walevi wa mbege wakilewa ni kwenda kulala na kupandana kimyakimya,mahaba hawezi kuyajua hata akienda chuo cha mahaba lazima afeli tu.
Come here baby..)))

Amnaa sitakiii nataka chaga boy
 
Nimekuwa na mahusiano na kijana wa kichaga almost 1.10 year ila sijawahi kupata Yale mahaba yenyewe. Ukitoa zile siku za mwanzo ni za mahaba ile miezi 3 ya mwanzo.

Mfano kukuita majina mazuri mazuri like sweetheart, honey, mke n.k Yaani kiufupi hana matendo ya mahaba.

Unaweza kumuaga kwenda mahali akakwambia sawa ila hakuulizi unaenda wapi na kufanya nini, kiufupi hana amshaamsha.

Anaweza kukaa hata siku 3 hamjawasiliana na akikutafuta hamna hata story.

Mwenzenu nimechoka natamani kupata mtu ambae ana mahaba na mimi ni enjoy.

Mpk nimemis Ex wangu alikuwa ananiita majina matamu hata Kama ananidanganya.

Naombeni majibu-
  1. Ni tabia ya wanaume wa kichaga
  2. Ni Tabia ya mtu binafsi
  3. Hanipendi?
Ushauri wa bure mchaga hana mbwembwe mahaba inayotafuta nenda kwa mzazamo,Makonde,ndengereko etc ,maana ya Moshi,Mungu Onyesha Hela Ilipo😂😂😂😂
 
Ushauri wa bure mchaga hana mbwembwe mahaba inayotafuta nenda kwa mtazamo,Makonda,ndengereko etc ,maana ya Moshi,Mungu Onyesha Hela Ilipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aiseee
 
Wewe umezunguka tu, hapo tatizo ni ubahiri ..hakupi hela[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app

Ubahirii nimeuridhiaa wala sina tatizo maana sina mahitaji makubwa ya kufanya pasipo kupata kwake pesa mambo yangu yasiende


Issue ni kuwa hayuko romantic yaani tunachart kama mandonga na mwakinyo
 
Back
Top Bottom