Hawapo romantic au huyu hanipendi tu?

Hawapo romantic au huyu hanipendi tu?

[emoji2][emoji2]sijasema ni ndogo ila sasa mpk mtakapo onana maybe after 4 month ama 3

Sasa mimi ninapokuwa nina shida ukimuomba asemi sikupi anasema anakupa ila hatoiii

Hata vocha hajawahi nitumia mpk nimeachaa tena Kumuombaa
Huyo atakuwa kamuacha mke wako uko kijijini kwenye migomba, vijana wakichaga wakija mjini hawaji na wake zao
 
Muda wa Kampeni umeshamalizika dada bado unataka aendelee kukudanganya anakupenda.
 
My love mleta mada njoo kwa mm mwanaume toka Tanga,mapenzi yalipo zaliwa na kukulia.
Nitakuita majina yote,nitakufanyia Masaji kabla ya kulala na kunipa chakula cha usiku.
Njoo ufurahie mema ya mapenzi hujaumbiwa kukasirika mtoto mzuri,umeambiwa ucheke kila dakika.

Kuhusu pesa si haba maana nimestaafu utumishi wa umma kwa hiyo kiinua mgongo + pensheni bado zipo na hakuna wa kuzimaliza leo wala kesho.
Karibu PM bibiye nawe ulambe asali nami nikulambe hadi kunako....!

We baba tafta hela mapenzi utayala?? ndo mana mkoa wenu upo upo tu kisa uzembe wa mapenzi sjui ..hebu fanyeni kazi mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nifanyeje anipendeee asa

Muelezee hisia zako,mwambie utajiskia vizuri zaidi kama akikufanyia kitu hiki na hiki..akifanya anakupenda asipofanya atakuwa anakuvumilia tu
 
We
Nataka niende kwake nikasaule kadi zake

Kuna siku nilikuta maburunguti ya hela kwake nikatamani nimchomolee ila nikaacha maana sina hizo tabia


Ila mubahiriiiiii
huyo mtu umempendea hela zake wala usituzuge kabisa. Hii tabia inawagharimu kweli watoto wa kike sababu sio kila mwanaume kisa ana hela atakupa tu kiboya boya. Wengine wana mahesabu makali ya hela zao halafu mwanaume hawezi kukupa hela kama anakuona hu add value kwenye maisha yake.

Wewe ukute simu zote ni za kutaka kuliwazana kingono tu. Hujawahi kuwa na sera za maendeleo zaidi ya kuomba omba hela bila mpango.
 
Mueleze ukweli kuwa nini unataka kutoka kwake. Romantic people are made.
You cant make someone romantic. Kama si romantic sie tu. Its never made ila mtu anakuwa hivyo just by personality tu
 
Nimekuwa na mahusiano na kijana wa kichaga kwa mwaka 1 na miezi 10 ila sijawahi kupata yale mahaba yenyewe. Ukitoa zile siku za mwanzo ni za mahaba, ile miezi 3 ya mwanzo.

Mfano kukuita majina mazuri mazuri like sweetheart, honey, mke n.k Yaani kiufupi hana matendo ya mahaba.

Unaweza kumuaga kwenda mahali akakwambia sawa ila hakuulizi unaenda wapi na kufanya nini, kiufupi hana amshaamsha.

Anaweza kukaa hata siku 3 hamjawasiliana na akikutafuta hamna hata stori.

Mwenzenu nimechoka natamani kupata mtu ambaye ana mahaba na mimi nifurahie.

Mpaka nimekumbuka Ex wangu alikuwa ananiita majina matamu hata kama ananidanganya.

Naombeni majibu-
  1. Ni tabia ya wanaume wa Kichaga?
  2. Ni Tabia ya mtu binafsi?
  3. Hanipendi?
Ukweli mchungu huwa tusipopenda hatuhangaiki na romanticness hamnaga
 
Ukiwa na mm tutazaa mtoto romantic kwa mkewe kwa kuwa atakuwa anatuona sisi wazazi wake tunavyoishi na kudamshi.
Basi kama hutaki kumuacha Mchaga wako niwe spea tairi,niutulize na kuukosha moyo wako kwa mahabubati ya kila aina.
Hii ni neema kupata mwalimu wa kukupa full dose ya mahaba.
Huyo mchaga wako wazazi wake walikuwa walevi wa mbege wakilewa ni kwenda kulala na kupandana kimyakimya,mahaba hawezi kuyajua hata akienda chuo cha mahaba lazima afeli tu.
Come here baby..)))
Unatongoza kizamani,kiboya boya,nenda Kama wewe kwa nini umsagie kunguni mchaga?
 
Nimekuwa na mahusiano na kijana wa kichaga kwa mwaka 1 na miezi 10 ila sijawahi kupata yale mahaba yenyewe. Ukitoa zile siku za mwanzo ni za mahaba, ile miezi 3 ya mwanzo.

Mfano kukuita majina mazuri mazuri like sweetheart, honey, mke n.k Yaani kiufupi hana matendo ya mahaba.

Unaweza kumuaga kwenda mahali akakwambia sawa ila hakuulizi unaenda wapi na kufanya nini, kiufupi hana amshaamsha.

Anaweza kukaa hata siku 3 hamjawasiliana na akikutafuta hamna hata stori.

Mwenzenu nimechoka natamani kupata mtu ambaye ana mahaba na mimi nifurahie.

Mpaka nimekumbuka Ex wangu alikuwa ananiita majina matamu hata kama ananidanganya.

Naombeni majibu-
  1. Ni tabia ya wanaume wa Kichaga?
  2. Ni Tabia ya mtu binafsi?
  3. Hanipendi?
 
Mfano kukuita majina mazuri mazuri like sweetheart, honey, mke n.k Yaani kiufupi hana matendo ya mahaba
Unaweza kuitwa majina kilaghai kumbe mwenzako anakutumia kama kopo la msalani (toilet love) kikubwa ridhika akikutoa stim
 
Back
Top Bottom