Hawapo romantic au huyu hanipendi tu?

Hawapo romantic au huyu hanipendi tu?

emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
kunifundisha hiyo kwioo

Basi kama haupo romantic si unakuwa unamwaga mapene

Ubahirii nimeuridhiaa wala sina tatizo maana sina mahitaji makubwa ya kufanya pasipo kupata kwake pesa mambo yangu yasiende


Issue ni kuwa hayuko romantic yaani tunachart kama mandonga na mwakinyo
🤔
 
Huyo aliyekuonesha mahaba kwa miezi mitatu huyo ni mwenyekiti wetu, sisi wengine tukishatomba tu basi mahaba huishia hapo.
 
Back
Top Bottom