Hawapo romantic au huyu hanipendi tu?

Hawapo romantic au huyu hanipendi tu?

mwanaume yoyote akiwa romantic hawezi kuyatimiza majukumu yake vzuri , kwa sababu atakua kihisia zaidi kuliko kutumia akili, nawashauri wanawake wawaepuke wanaume romantic kwani hao huwanyonga badae utakapo wavunja moyo , wanaume wote waliokuwa romantic , ndio wamefanya mauaji ya wapenzi wao au wake zao, mwanaume romantic atakutafuta kila saa, atatumia mda mwingi na ww wew unafikiri pesa atapatia wap? mwsho wa siku mdada atamwacha sasa apo atachukua maamuzi mabaya kwa sababu anatumia hisia zaidi badala ya akili , hauwezi kuwa romantic kamwe kama una tumia akili zaidi , romantic inaendana na hisia na hisia mda wote huwa na matokeo mabaya ple mmoja anapovunjwa moyo, alafu hawa wachaga wasasa msiwe nao sirious sana kwani wengi wao mdada alipigwa mimba huko mtoto akakulia kwa bibi , ndo wachaga wengi wapo hvyo sasa , yan mpka vigodoro na singeli wanacheza , wanajinyonga kisa mapenz , pombe chafu wanazibugia tunza pesa yako huko uchagani vijna watakuja kuuza viwanja laki tatu wakalewe tu, intermerrage imeharbu mno.
 
[emoji2][emoji2]sijasema ni ndogo ila sasa mpk mtakapo onana maybe after 4 month ama 3

Sasa mimi ninapokuwa nina shida ukimuomba asemi sikupi anasema anakupa ila hatoiii

Hata vocha hajawahi nitumia mpk nimeachaa tena Kumuombaa
Tafuta pesa zako usimwombe za kwake
 
Huyo atakuwa kamuacha mke wako uko kijijini kwenye migomba, vijana wakichaga wakija mjini hawaji na wake zao

Hana mke kijana mdogo tu familia yake wote walihamiaga mjini so haiwezekanii
 
Nimekuwa na mahusiano na kijana wa kichaga kwa mwaka 1 na miezi 10 ila sijawahi kupata yale mahaba yenyewe. Ukitoa zile siku za mwanzo ni za mahaba, ile miezi 3 ya mwanzo.

Mfano kukuita majina mazuri mazuri like sweetheart, honey, mke n.k Yaani kiufupi hana matendo ya mahaba.

Unaweza kumuaga kwenda mahali akakwambia sawa ila hakuulizi unaenda wapi na kufanya nini, kiufupi hana amshaamsha.

Anaweza kukaa hata siku 3 hamjawasiliana na akikutafuta hamna hata stori.

Mwenzenu nimechoka natamani kupata mtu ambaye ana mahaba na mimi nifurahie.

Mpaka nimekumbuka Ex wangu alikuwa ananiita majina matamu hata kama ananidanganya.

Naombeni majibu-
  1. Ni tabia ya wanaume wa Kichaga?
  2. Ni Tabia ya mtu binafsi?
  3. Hanipendi?
hivyo ndivyo wachaga walivyo, usijali kabisa
 
We baba tafta hela mapenzi utayala?? ndo mana mkoa wenu upo upo tu kisa uzembe wa mapenzi sjui ..hebu fanyeni kazi mkuu
Mm ni mstaafu wa umma.Nimeanza kufanya kazi wakati wewe bado uko kwenye kiuno cha baba yako.
Nakula kiinua mgongo na pensheni juu.
Karibu tule kama jasho la mtu laliwa bure.
 
Hapana nampenda mchaga wangu nipe tu mbinu ya kumfanya nae awe romantic [emoji1787]
Huyo kama unampenda basi mvumulie maana hatabadilika kamwe.
Uzuri wa wanaume wa kichaga wanajua kujali familia hasa watoto.
 
Back
Top Bottom