Hawapo romantic au huyu hanipendi tu?

[emoji2][emoji2]sijasema ni ndogo ila sasa mpk mtakapo onana maybe after 4 month ama 3

Sasa mimi ninapokuwa nina shida ukimuomba asemi sikupi anasema anakupa ila hatoiii

Hata vocha hajawahi nitumia mpk nimeachaa tena Kumuombaa
Huyo atakuwa kamuacha mke wako uko kijijini kwenye migomba, vijana wakichaga wakija mjini hawaji na wake zao
 
Muda wa Kampeni umeshamalizika dada bado unataka aendelee kukudanganya anakupenda.
 

We baba tafta hela mapenzi utayala?? ndo mana mkoa wenu upo upo tu kisa uzembe wa mapenzi sjui ..hebu fanyeni kazi mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nifanyeje anipendeee asa

Muelezee hisia zako,mwambie utajiskia vizuri zaidi kama akikufanyia kitu hiki na hiki..akifanya anakupenda asipofanya atakuwa anakuvumilia tu
 
We
Nataka niende kwake nikasaule kadi zake

Kuna siku nilikuta maburunguti ya hela kwake nikatamani nimchomolee ila nikaacha maana sina hizo tabia


Ila mubahiriiiiii
huyo mtu umempendea hela zake wala usituzuge kabisa. Hii tabia inawagharimu kweli watoto wa kike sababu sio kila mwanaume kisa ana hela atakupa tu kiboya boya. Wengine wana mahesabu makali ya hela zao halafu mwanaume hawezi kukupa hela kama anakuona hu add value kwenye maisha yake.

Wewe ukute simu zote ni za kutaka kuliwazana kingono tu. Hujawahi kuwa na sera za maendeleo zaidi ya kuomba omba hela bila mpango.
 
Mueleze ukweli kuwa nini unataka kutoka kwake. Romantic people are made.
You cant make someone romantic. Kama si romantic sie tu. Its never made ila mtu anakuwa hivyo just by personality tu
 
Ukweli mchungu huwa tusipopenda hatuhangaiki na romanticness hamnaga
 
Unatongoza kizamani,kiboya boya,nenda Kama wewe kwa nini umsagie kunguni mchaga?
 
 
Mfano kukuita majina mazuri mazuri like sweetheart, honey, mke n.k Yaani kiufupi hana matendo ya mahaba
Unaweza kuitwa majina kilaghai kumbe mwenzako anakutumia kama kopo la msalani (toilet love) kikubwa ridhika akikutoa stim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…