Hawapo romantic au huyu hanipendi tu?


Sasa kama mtu hakushirikishi mambo yake unaweza kuweka ushauri gani nianze tu kutoa ushauri bila kujua mwenzangu mambo anayoyafanya si nitaonekana nina kiherehere

Na kuhusu kumpendaa kweli mwanzo nilimpendea hela na unajua sie wadada mapenzi huja baadae so for the first nilipenda hela

But finally nampenda yeye ukitoa hizo hela maana nikisema nampenda kwa hela basi ningekuwa nishamuacha kwasababu hanipi pesa…. Ila nilishaacha kupenda pesa yake kwasababu ukitoa hiyo kasoro ya kutokuwa romantic na kutokunihudumia yupo vizuri hajawai nitukana kunipiga kunisema vibaya zaidi zaidi huwa ananishauri mambo ya maendeleo yangu

So ha deserve kupendewa hela ni mtu smart tu
 
Ukweli mchungu huwa tusipopenda hatuhangaiki na romanticness hamnaga

Sawa nimekupata… lakini kinachonishangaza tukiwa pamoja simaanishii kuwa nae kitandani no hata tukikutana mahali labda tunaongea huwa anasisitiza kwamba ananipenda tena sanaa nimvumilie tu kuna mambo yanamvuruga

Ila sasa ndio najiuliza watu wakivurugwa huwa hawapo romantic kwa wapenzi wao [emoji2370][emoji2370][emoji2370][emoji41]
 

[emoji3]
 
Nimeridhika unafikiri kukaa na mtu karibu mwaka wa 2 huu na hayupo romantic ni kazi rahisi [emoji3][emoji3]
 

Mmh
 
Ndivyo walivyo wagumu hao hata hawajui uromantic wakavu kama samaki wa kuchoma ila wajanja sanaa Nawapenda..
Ujue sisi wa sasa tumekua na akili ile ya wanawake wa mjini sio watu wazuri maana miaka ya nyuma wazazi wetu walipotezwa sana na wanawake wa mjini ndio maana tunawaogopa.
Ukienda mjini kutafuta maisha wazazi hua wanatuambia muwe makini na wanawake wa mjini[emoji3]

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka pesa ya mwanaume wa kichaga usimuombe pesa ya nguo na salon. mwambie beb nataka kufungua biashara nina mtaji kiasi kadhaa, Naomba niongezee, akikupa unajiongeza🤣! Hao pesa zao hazichezewi.
 
Tafuta pesa zako usimwombe za kwake

Afu akitaka kuchart na mimi atumie bando la nini??

Inauma unatumiwa pesa na mtu ambae humtegemei afu bebi lako linakuchartishaa tu[emoji1787]
 
Alikutoa posho?

Nimesema tukiwa pamoja anatoa hela kama chakula atanunua atakupeleka mwenyewe hospital na atakuachia

InShot ili upate hela yake ni lazima uwe nae karibu haijarishi umekutana nae wapi barabarani au kwake lazima akuachie pesa

Ila ukiwa mbali sahau hata vocha hugusii [emoji1787]
 
Mzee mzima on..[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mke wangu mimi huwa namuita 'wee mwanamke''Tupo mwaka wa kumi sasa lkn sijui kama limemkaa kimahaba ama laa
Na pia naogopa kulichenji manake ataona labda nimebadilika ghafla kulikoni?

Ni mkeo na kwenye uchumba je?

Unajua najaribu kumzoe na tuseme nimeshamzoea ila sasa kuna mda unakuwa unavumiss hivyo vimaneno vya i love you

Yaani kuna mda unatazama simu yako unakutana na I love nyingi ila hukuti ya yule umpendae

Hata kuniwish happy birthday anashindwaa kweli [emoji38][emoji38][emoji38]

Nyie sitaki kusema yote nisije nikafungua code
 
HANIHUDUMII

PESA AKE AKINIPA NI MPK TUWE WOTE TENA VILE Mshamaliza maongezi kila mtu kwao ndio anatoa Ka elfu 20 [emoji57][emoji57]

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kiufupi ni bahili
Huyo mchaga hamfiki popote, wabahili afu hawako romantic wapo wapo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…