mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
- Thread starter
- #161
We
huyo mtu umempendea hela zake wala usituzuge kabisa. Hii tabia inawagharimu kweli watoto wa kike sababu sio kila mwanaume kisa ana hela atakupa tu kiboya boya. Wengine wana mahesabu makali ya hela zao halafu mwanaume hawezi kukupa hela kama anakuona hu add value kwenye maisha yake.
Wewe ukute simu zote ni za kutaka kuliwazana kingono tu. Hujawahi kuwa na sera za maendeleo zaidi ya kuomba omba hela bila mpango.
Sasa kama mtu hakushirikishi mambo yake unaweza kuweka ushauri gani nianze tu kutoa ushauri bila kujua mwenzangu mambo anayoyafanya si nitaonekana nina kiherehere
Na kuhusu kumpendaa kweli mwanzo nilimpendea hela na unajua sie wadada mapenzi huja baadae so for the first nilipenda hela
But finally nampenda yeye ukitoa hizo hela maana nikisema nampenda kwa hela basi ningekuwa nishamuacha kwasababu hanipi pesa…. Ila nilishaacha kupenda pesa yake kwasababu ukitoa hiyo kasoro ya kutokuwa romantic na kutokunihudumia yupo vizuri hajawai nitukana kunipiga kunisema vibaya zaidi zaidi huwa ananishauri mambo ya maendeleo yangu
So ha deserve kupendewa hela ni mtu smart tu