mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
- Thread starter
- #181
Huyo kama unampenda basi mvumulie maana hatabadilika kamwe.
Uzuri wa wanaume wa kichaga wanajua kujali familia hasa watoto.
[emoji19][emoji19][emoji19]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo kama unampenda basi mvumulie maana hatabadilika kamwe.
Uzuri wa wanaume wa kichaga wanajua kujali familia hasa watoto.
Eti "ka elfu 20" kwa hizi dharau una shida wewe mwanamke,HANIHUDUMII
PESA AKE AKINIPA NI MPK TUWE WOTE TENA VILE Mshamaliza maongezi kila mtu kwao ndio anatoa Ka elfu 20 [emoji57][emoji57]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kiufupi ni bahili
Mnakuwaga maHb ila ndiyo hivyo tena hampo romantic but ni husband material wazuri mnoo na ndoa zao hudumu sanaaUjue sisi wa sasa tumekua na akili ile ya wanawake wa mjini sio watu wazuri maana miaka ya nyuma wazazi wetu walipotezwa sana na wanawake wa mjini ndio maana tunawaogopa.
Ukienda mjini kutafuta maisha wazazi hua wanatuambia muwe makini na wanawake wa mjini[emoji3]
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Wanaume wa kichaga ndio husband material nchi hii.....achana na hawa I love you nyingi, waongo waongo!
Ujue sisi wa sasa tumekua na akili ile ya wanawake wa mjini sio watu wazuri maana miaka ya nyuma wazazi wetu walipotezwa sana na wanawake wa mjini ndio maana tunawaogopa.
Ukienda mjini kutafuta maisha wazazi hua wanatuambia muwe makini na wanawake wa mjini[emoji3]
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Ukitaka pesa ya mwanaume wa kichaga usimuombe pesa ya nguo na salon. mwambie beb nataka kufungua biashara nina mtaji kiasi kadhaa, Naomba niongezee, akikupa unajiongeza[emoji1787]! Hao pesa zao hazichezewi.
Sasa hela hupewi na bado sio romantic🙆🙆🙆🙆Na Kama hanipi??
Ila wanaoa kweli akikupenda na ukawa na tabia nzuri.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Huyo mchaga hamfiki popote, wabahili afu hawako romantic wapo wapo tu.
Ndio tulivyo wote.Nimekuwa na mahusiano na kijana wa kichaga kwa mwaka 1 na miezi 10 ila sijawahi kupata yale mahaba yenyewe. Ukitoa zile siku za mwanzo ni za mahaba, ile miezi 3 ya mwanzo.
Mfano kukuita majina mazuri mazuri like sweetheart, honey, mke n.k Yaani kiufupi hana matendo ya mahaba.
Unaweza kumuaga kwenda mahali akakwambia sawa ila hakuulizi unaenda wapi na kufanya nini, kiufupi hana amshaamsha.
Anaweza kukaa hata siku 3 hamjawasiliana na akikutafuta hamna hata stori.
Mwenzenu nimechoka natamani kupata mtu ambaye ana mahaba na mimi nifurahie.
Mpaka nimekumbuka Ex wangu alikuwa ananiita majina matamu hata kama ananidanganya.
Naombeni majibu-
- Ni tabia ya wanaume wa Kichaga?
- Ni Tabia ya mtu binafsi?
- Hanipendi?
Anabadilika zikipita siku 3 anarudii kama zamani
Kuna siku tuligombana nikamwambia tuachane
Alinijibu “ Mapenzi kwake sio kipaumbele
Ni kama starehe tu yeye anawaza pesa hata nikimuacha haitomuuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti "ka elfu 20" kwa hizi dharau una shida wewe mwanamke,
Hako ka elfu 20 angempa mama yake angemshukuru sana na kumbariki pia, ,,,ungrateful gold diger
Sasa hela hupewi na bado sio romantic[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Wa nini huyo!!!
Sasa kumbe majibu unayo tayari, sasa hapo kakuchana ukweli we hutaki kukubali unataka kumbadilisha
Nigger, we never change, kama hupendwi hupendwi tu
Ndio tulivyo wote.
Sisi mahaba yetu tunaonesha kwa kuhudumia familia ipasavyo. Muda mwingi tunawaza namna ya kuboresha maisha yako. Tukishazeeka huwa tunaonesha mahaba yote ushahidi ni R. Mengi na A. Mrema.
Uyo mchaga usimuache atakuja kukufanya uwe na uwezo mkubwa wa kutengeneza pesa we komanaye tu tena aza kumuomba akufundishe kufanya biashara Kam ni mnafanya biashara.wew mwenye umekili Huwa anakushauri vitu vya maendeleo kwanini ustumie hiyo advantage vizur.zaidi zaidi umeishia kuja kumsengenya mchaga wa watu jamii foroum
achana na watoto wa mjini wataishia tu kukupeleka KFC kula kuku wakati huyo mchaga anaweza kukufanya ukawa Ata na biashara zako zikaja saidia watoto wako,na ndugu zako narudia tena mara ya mwisho komaa na mchaga muombe akufundishe kufanya biashara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] heeeeee sijamsengenyaa bhn