luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Kwanza mwambie ukweli asipobadilika angalia moyo wako unasemaje, ukiendelea kukomaa nae kuchepuka ni nje nje maana hisia za x wako lazima zirudi.[emoji19][emoji19] nifanyeje sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza mwambie ukweli asipobadilika angalia moyo wako unasemaje, ukiendelea kukomaa nae kuchepuka ni nje nje maana hisia za x wako lazima zirudi.[emoji19][emoji19] nifanyeje sasa
Mwache mtafuta pesa huyo wewe zile tu.Nimekuwa na mahusiano na kijana wa kichaga kwa mwaka 1 na miezi 10 ila sijawahi kupata yale mahaba yenyewe. Ukitoa zile siku za mwanzo ni za mahaba, ile miezi 3 ya mwanzo.
Mfano kukuita majina mazuri mazuri like sweetheart, honey, mke n.k Yaani kiufupi hana matendo ya mahaba.
Unaweza kumuaga kwenda mahali akakwambia sawa ila hakuulizi unaenda wapi na kufanya nini, kiufupi hana amshaamsha.
Anaweza kukaa hata siku 3 hamjawasiliana na akikutafuta hamna hata stori.
Mwenzenu nimechoka natamani kupata mtu ambaye ana mahaba na mimi nifurahie.
Mpaka nimekumbuka Ex wangu alikuwa ananiita majina matamu hata kama ananidanganya.
Naombeni majibu-
- Ni tabia ya wanaume wa Kichaga?
- Ni Tabia ya mtu binafsi?
- Hanipendi?
Ndio uziache sasaHuendaa maana huwaga kuna tabia zangu hazipendii huwa kila leo lazima aniambie niachee huo ujinga [emoji38][emoji38][emoji38]
Hizo nasaha ashapewa ndio maana anajihami usijempiga na kitu kizito😂Hahahaha ila wazazi wake sasa wote tupo nao town [emoji3][emoji3]
Mangi mjanja hapo anapunguza idadi ya vizinga na hivi yuko mbali nawe anasave pesa zake mpaka mtakapokutana ndo uumchuneNimesema tukiwa pamoja anatoa hela kama chakula atanunua atakupeleka mwenyewe hospital na atakuachia
InShot ili upate hela yake ni lazima uwe nae karibu haijarishi umekutana nae wapi barabarani au kwake lazima akuachie pesa
Ila ukiwa mbali sahau hata vocha hugusii [emoji1787]
🤣🤣🤣 wakubwa tushakuelewa acha tufanye inatoshaa kwa sasaHahah nampenda inatoshaa [emoji3]
Kua romantic inategemea na mtu, pia makuzi yetu yanachangia hatuna mafunzo yoyote ya jando kama ilivyo baadhi ya makabila mengine, so wengi wetu tunajifunzia mapenzi mtaaniMnakuwaga maHb ila ndiyo hivyo tena hampo romantic but ni husband material wazuri mnoo na ndoa zao hudumu sanaa
LIPIA TANGAZO😅Nimekuwa na mahusiano na kijana wa kichaga kwa mwaka 1 na miezi 10 ila sijawahi kupata yale mahaba yenyewe. Ukitoa zile siku za mwanzo ni za mahaba, ile miezi 3 ya mwanzo.
Mfano kukuita majina mazuri mazuri like sweetheart, honey, mke n.k Yaani kiufupi hana matendo ya mahaba.
Unaweza kumuaga kwenda mahali akakwambia sawa ila hakuulizi unaenda wapi na kufanya nini, kiufupi hana amshaamsha.
Anaweza kukaa hata siku 3 hamjawasiliana na akikutafuta hamna hata stori.
Mwenzenu nimechoka natamani kupata mtu ambaye ana mahaba na mimi nifurahie.
Mpaka nimekumbuka Ex wangu alikuwa ananiita majina matamu hata kama ananidanganya.
Naombeni majibu-
- Ni tabia ya wanaume wa Kichaga?
- Ni Tabia ya mtu binafsi?
- Hanipendi?
Hello sweetheart.
Pole na siku nzima. Umeshindaje honey?
Kwa niaba ya mchaga, nimekuita walau ujisikie vizuri. Vile umemiss, natumai siku yako itakuwa salama.
Rudisha majeshi Mkuu.Na wa pwani wako vizuri kuna mmoja huyo Mpk nimemis [emoji3060]
Kwani mahusiano ni kazi ya kulipwa au ni sehemu ya maisha?![emoji2][emoji2]elfu 20 umeanza kuniita gold diger
Miez 3 unaonana na babe wako ambae humpagi hata vocha afu unampa elfu 20 ulitegemea asemajee
Ofcoz ni nyingi si haba ila ndio hivyo ni bahirii kama niniiii
Hivi kwa nini unataka akuite sweetheart kwani wewe ni lile kabeji linaloitwa sweetheart cabbage?Nimekuwa na mahusiano na kijana kwa mwaka 1 na miezi 10 ila sijawahi kupata yale mahaba yenyewe. Ukitoa zile siku za mwanzo ni za mahaba, ile miezi 3 ya mwanzo.
Mfano kukuita majina mazuri mazuri like sweetheart, honey, mke n.k Yaani kiufupi hana matendo ya mahaba.
Unaweza kumuaga kwenda mahali akakwambia sawa ila hakuulizi unaenda wapi na kufanya nini, kiufupi hana amshaamsha.
Anaweza kukaa hata siku 3 hamjawasiliana na akikutafuta hamna hata stori.
Mwenzenu nimechoka natamani kupata mtu ambaye ana mahaba na mimi nifurahie.
Mpaka nimekumbuka Ex wangu alikuwa ananiita majina matamu hata kama ananidanganya.
Naombeni majibu-
- Ni tabia ya wanaume wa Kichaga?
- Ni Tabia ya mtu binafsi?
- Hanipendi?
Hii bado ni pua mentality ya kimahusiano. Unapoingia katika mahusiano kwa lengo la kugain jambo fulani kwa faida yako binafsi huo ni ubinafsi na uchoyo. Na ndio sababu mahusiano mengi miaka hii hayafanikiwi hata kidogo na hakuna mtu anayetoboa kufika ndoa na mtu aliyekuwa nae tokea mwanzo wa safari ya mahusiano.Uyo mchaga usimuache atakuja kukufanya uwe na uwezo mkubwa wa kutengeneza pesa we komanaye tu tena aza kumuomba akufundishe kufanya biashara Kam ni mnafanya biashara.wew mwenye umekili Huwa anakushauri vitu vya maendeleo kwanini ustumie hiyo advantage vizur.zaidi zaidi umeishia kuja kumsengenya mchaga wa watu jamii foroum