Kwaiyo hawara hapo anahusikaje na hicho kifo Cha ndugu yenu?
Mitungi imelipuka kwenye gari ikasababisha moto na hatimae ndugu yenu na hawara wakafa,
Kwan Kwa mfano angekuwa yeye peke yake mitungi ikalipuka asingekufa,
Je hujawaza ndugu upande wa hawara wanavyoumia ndugu Yao kupanda gari lenye mitungi ya gesi?
Sioni uhusiano kati ya hawara na kifo Cha ndugu yenu,
Japo wamekufa wote!