Hawataki kukubali ukweli kuwa Rais Samia anatuongoza vyema

Labda amani kwako. Mi awamu zote huwa nina amani ilimradi naishi vzr na jamii, kama ulikuwa mkosefu sehemu lazima awamu flan uishi kwa tabu tu. Ila kwa sisi watiifu tuliishi hv hv enzi zote
Wewe ni bora liende, Mtu hujui unataka nini utakosaje amani?
 
Labda amani kwako. Mi awamu zote huwa nina amani ilimradi naishi vzr na jamii, kama ulikuwa mkosefu sehemu lazima awamu flan uishi kwa tabu tu. Ila kwa sisi watiifu tuliishi hv hv enzi zote
Kama hujui hata kutofautisha hizi awamu sitashangaa ukisema usiku ni mchana na mchana ukasema ni usiku.
 
Wameitana wote kutoka mchambawima kuja kumtetea ndugu yao.
Ndugu yetu au raisi wetu..? Jambo jema huwa halina haja ya kupambwa bali linajieleza tu naturally.
 
Ndugu yetu au raisi wetu..? Jambo jema huwa halina haja ya kupambwa bali linajieleza tu naturally.
Ni kwa uwezo wa Mungu tu mambo yetu yanakwenda ila huyu Rais kwakweli hakuna jambo hata moja alilofanya.
 
Ni kwa uwezo wa Mungu tu mambo yetu yanakwenda ila huyu Rais kwakweli hakuna jambo hata moja alilofanya.
Kwa kuwa wewe sio mtanzania huwezi kututisha kwa huo uzwazwa wako. Nchi ipo mikono salama kabsa. Jitahidi utoe chuki, unyama, ukabila ukanda au tuseme kwa ujumla achana na legacy aka usukuma gang. Tanzania ni muhimu saana duniani kuliko umuhimu wenu katika hili taifa.
 
Ni kwa uwezo wa Mungu tu mambo yetu yanakwenda ila huyu Rais kwakweli hakuna jambo hata moja alilofanya.
Huwezi kuona jema kama akili umeamua ione mabaya tu. Kuna shule zinajengwa nchi nzima, kuna bajeti ya kilimo imeongezeka kutoka bilioni 200 mpaka 700 kama haya sio makubwa basi hayupo wa kuubadilii msimamo wako.
 
Wameitana wote kutoka mchambawima kuja kumtetea ndugu yao.
Wa kumtetea SSH sio lazima watoke mchambawima, wamo huku bara na mamilioni ya watanzania.

Hatumii nguvu nyingi za mwili zaidi ya matumizi makubwa ya akili. Conviction is betrer than the use of force.
 
Mkuu kuna watu ni matomaso hata akija yesu leo hawata ona kuwa kaja. Tatizo mtu akisha jiweka kukataa ukweli daima hawezi kufunga mana na ukweli. Ila muda utawaambia ukweli
Huwezi kuona jema kama akili umeamua ione mabaya tu. Kuna shule zinajengwa nchi nzima, kuna bajeti ya kilimo imeongezeka kutoka bilioni 200 mpaka 700 kama haya sio makubwa basi hayupo wa kuubadilii msimamo wako.
 
Wa kumtetea SSH sio lazima watoke mchambawima, wamo huku bara na mamilioni ya watanzania.

Hatumii nguvu nyingi za mwili zaidi ya matumizi makubwa ya akili. Conviction is betrer than the use of force.
Mwambie sisi wengine wala hatuku zaliwa pwani ila tunasema ukweli wa haya tunayo yaona. Watanzania mnataka nini..? Au hamuelwi kipi kilipotea
 
Mkuu kuna watu ni matomaso hata akija yesu leo hawata ona kuwa kaja. Tatizo mtu akisha jiweka kukataa ukweli daima hawezi kufunga mana na ukweli. Ila muda utawaambia ukweli
Wengine wanasutwa na aibu ukikumbuka ni hawa hawa wanaotawaliwa na akili za mfumo dume.

Wengine zile hulka za uonevu na utesaji walizipenda, sasa nafsi zao zinawasuta.
 
Mie namshukuru Mama yetu kwa kutupunguzia lile deni la bodi la mikopo ambalo lilikuwa na riba. Maana yake ningestaafu nalo. Kumbe bodi walikuwa wanafanya kusudi kuwambikia watu ili waonekane wanakusanya madeni kwa ufanisi.

Ajabu kipindi kile wakati nafuatilia ili hali nilikuwa najua kiasi kilichotumika kunisomesha walikuwa wagumu na hawakutaka kusikiliza.

Cha ajabu zaidi baada ya awamu ya sita... kwenye mfumo lile deni halisi ndio linaonekana! Inamaanisha walikuwa na data sahihi za viwango ambavyo walikopeshwa watu. Kweli kwenye haki dhuluma hujitenga.
 
Yule mzee alikuwa katili sana. Ila Mungu anatupenda sana, nimeamini.

YESU NI KRISTO
 
Umeonaeeh..? Haki huinua taifa. Yapo mengi mno. Watumishi wamefanya kazi kwa miaka saba bila kupanda daraja aisee ukweli tuuseme tu. Wengine watakuja kumuelewa Mhe raisi baadae kdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…