Hawataki kukubali ukweli kuwa Rais Samia anatuongoza vyema

Magufuli aliharibu sana hii nchi, na simaanishi directly tu, aliiharibu sana pia indirectly

Indirect effect ndio kama hizi za watu kumuona Rais hafai kisa hana roho mbaya
 
Mama Yuko POA Sana,
Wenye chuki binafsi hawawezi kuona hili[emoji106]
 
Magufuli aliharibu sana hii nchi, na simaanishi, directly na inderectly

Indirect effect ndio kama hizi za watu kumuona Rais hafai kisa hana roho mbaya
Wanataka kama yule wa One man show
 
Ipo haja ufundishwe hata kusoma soma historia na vitabu vya dini. Watawala woote waovu, wanyama, wadhalimu wanasemwa mpaka kufa kwako bado watasemwa huelewi kasome biblia au msuafu utakutana na hadithi za kina pharao na wengine wengi. Shetani lazima akemewe hauwezi kumtukuza shetani
Ooh kumbe sasa uyo shetani ndo we unamtukuza au shetani yupi unamsema nenda kalale ukiamuka ndo uje apa unamaono mafupi sana kiroho akili yako yote iko tumboni
 
Kazikwe karibu yake pale. Uzidi kusujudu. 🚮🚮🚮
 
Kazikwe karibu yake pale. Uzidi kusujudu. [emoji706][emoji706][emoji706]
Hahahaha kweli ee we mpaka sasa umezikwa na wangapi hatutazikwa Bali tutakuwa nae kiroho ili nyie na mama yenu poa msituaribie NCHI yetu
 
Ndo mnaamini ndo silaha yenu ya mwisho kweli we bwabwa ninapo andika apa nipo chato na mama yako nae niko nae
nchi inasonga mbele, mtake ama msitake, mungu wa Chato ndio hivyo keshakufa na hatarudi
ukipenda tukana kila aina yha Matusi ila Samia ndio Rais mpaka 2030 labda Mungu aamue vinginevyo
 
Back
Top Bottom