GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Ambaye pia ndiyo HUKUKAZA Kutwa.BOGUS LA JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ambaye pia ndiyo HUKUKAZA Kutwa.BOGUS LA JF
Kaka samahani nje ya mada kidogoKUBWA JINGA LA JF
Watu wote wenye akili timamu wanajikita kwenye mijadala yenye akili timamu,kama mjadala wa masuala ya umeme,huko Huwezi hata kukomenti kwasababu kila muda unawawaza mabwana zako Yanga & Simba!
Bila shaka Yanga & Simba walikukung'uta Mikwaju ya maana ndiyo maana kila muda unawaanzishia nyuzi hapa!
Mgeni Rasmi ata akiwa Motsepe iyo mechi labda mtacheza na Simba queens,,yanga aijawai kucheka na kima na nadhani kwenye vilabu vyenye msimamo hapa nchini yanga ndio wababe wa misimamo subilia utaona!Si wanajifanya wote Watoto wa Mjini sana na kutaka kuipelekesha TFF sasa Mchezo wao ujao Mgeni rasmi ni Rais Samia.
Samia aliwaambia mumuachie fei toto aende azam na akaenda azam hakuna aliyegoma kama kweli mna msimamo mngegoma.Mgeni Rasmi ata akiwa Motsepe iyo mechi labda mtacheza na Simba queens,,yanga aijawai kucheka na kima na nadhani kwenye vilabu vyenye msimamo hapa nchini yanga ndio wababe wa misimamo subilia utaona!
Usiwe unafananisha vitu, Kila jambo Lina umuhimu wake na mazingira yake kwaiyo usikariri vituSamia aliwaambia mumuachie fei toto aende azam na akaenda azam hakuna aliyegoma kama kweli mna msimamo mngegoma.
Eng hersi anautaka ubunge wa kongwa na mama ndo anaidhinisha majina nani apite? Je huyo msomali anaweza kumdindia mama?Usiwe unafananisha vitu, Kila jambo Lina umuhimu wake na mazingira yake kwaiyo usikariri vitu
Hivi mwenye mamlaka ya kumwalika mgeni rasmi ni tff au mwenyeji wa mechi??Si wanajifanya wote Watoto wa Mjini sana na kutaka kuipelekesha TFF sasa Mchezo wao ujao Mgeni rasmi ni Rais Samia.
Hii nchi hii kiboko..ccm wanambinu sana.Si wanajifanya wote Watoto wa Mjini sana na kutaka kuipelekesha TFF sasa Mchezo wao ujao Mgeni rasmi ni Rais Samia.
Ona sasa ulivyo mweupe kichwani,,hapa tunajadili ubunge? Hersi alikuletea proposal yake akakwambia anagombea ubunge?Eng hersi anautaka ubunge wa kongwa na mama ndo anaidhinisha majina nani apite? Je huyo msomali anaweza kumdindia mama?
Na GSM anautaka ubunge wa ilala..Eng hersi anautaka ubunge wa kongwa na mama ndo anaidhinisha majina nani apite? Je huyo msomali anaweza kumdindia mama?
Zamani alikua anaandika mambo ya akili kidogo, hivi karibuni nyuzi fupifupi na za kidwanzi.Huchoki?
Jukwaa zima la michezo umejaza nyuzi zako za Kidwanzi,unaandika from morning to Night,Huchoki?
Huu muda wa kuandika Uduanzi kila wakati unautoa wapi?
Anajua basi?? Hajui kama mgeni rasimi hualikwa na timu mwenyeji. Jamaa zamani nilikuwa naina anazo kichwani ila Kwa Sasa najutia kwanini kaniproove wrong??Nnavyo fahamu mgeni rasimi ana alikwa na timu mwenyeji, alafu mechi zote za ligi hazijakua na mgeni rasimi hii iweje na mgeni rasimi?
Tatizo lako unaishi mkoani vijijini ndani ndani huna connection wala exposure hizo ni habari za ndani ambazo mmasai kama wewe huna,Ona sasa ulivyo mweupe kichwani,,hapa tunajadili ubunge? Hersi alikuletea proposal yake akakwambia anagombea ubunge?
Ebu tuondolee hizi taka taka zako hapa,,jikite kwenye mada husika na sio porojo za kufikirika!Tatizo lako unaishi mkoani vijijini ndani ndani huna connection wala exposure hizo ni habari za ndani ambazo mmasai kama wewe huna,
Ubunge anaupataje kama atamgomea mama?
Kama mlivyoonesha msimamo kwa Fei.Ucjidanganye mwenyew hakuna mkate mgumu mbele ya chai BwasheeMgeni Rasmi ata akiwa Motsepe iyo mechi labda mtacheza na Simba queens,,yanga aijawai kucheka na kima na nadhani kwenye vilabu vyenye msimamo hapa nchini yanga ndio wababe wa misimamo subilia utaona!
Lina UKIMWI halafu linahangaika na GENTAMYCINE asiye nao. Asante sana Mkuu kwa kutufumbua leo kuwa huyu Juha (Fool) ni Mgonjwa. Na sasa atanikoma hakyamungu hapa JamiiForums. Kumbe ndiyo maana Kutwa linahangaika nami hapa JamiiForums kwakuwa tayari limeshachanganyikiwa kutokana na huko Kuugua kwake Ugonjwa wa UKIMWI? Kudadadeki....Kaka samahani nje ya mada kidogo
Kwenye ule uzi wako wa pili yule rafiki yako mtatiro kama sikosei ulisema alikuwa na ngoma
Ila mliwahi kwenda kwa mganga na mganga aliwachanja kwa kutumia kisu kidogo
Alianzia rafiki yako ukaja wewe
Nimeukumbuka huo uzi kaka
Nisamehe ila nauliza tu upo salama lakini
Mama yako Mzazi akiwa wa Kwanza kutangulia 'Kukungútwa' huko.Duu!!kwamba unakung'utwa na Yanga na Simba Kwa pamoja?
Halafu nikisema huna Akili / Watu wa Yanga SC hamna Akili mnakimbilia Kunilaumu kuwa GENTAMYCINE nawatukana JF.Hivi mwenye mamlaka ya kumwalika mgeni rasmi ni tff au mwenyeji wa mechi??