Prof_Adventure_guide
Member
- Dec 21, 2023
- 96
- 183
Habari za kila mmoja humu, leo nawaletea mchingo mwingine huu hapa wa kwenda kutembelea paradiso ya maji moto ya chemka iliyopo wilaya ya hai mkoani Kilimanjaro.
Hapa huoendwa kutembelewa na watu wengi zaidi hasa wanachuo hivyo tunakuletea fursa hii mezani ili uweze kutembelea paradiso ya maji moto (chemka hot springs)
Gharama ni nafuu zaidi jamani, karibuni nyoote mnaopenda kuifahamu Tanzania na uzuri wake ,
KARIBU CHEMKA HOT SPRING