Tetesi: Haya hapa majina mengine katika Ripoti ya Mali za CCM (Makinikia ya CCM)

Pole January Makamba naona umetafutwa sana..now umepatikana.. wachache watalijua hili. Ulikuwaga mbunge mzuri tu..

Si alikuwa pale Mlimani City wakati wa uchaguzi mkuu akitangaza matokeo kutoka katika vituo vyote kama vile Tume ya Uchaguzi?
 
chama kina wenyewe ,hahaa wale wanaopiga kelele mitandaoni wanaishia kula vumbi. joka la makengeza likikosenaka hapa hakuna kitu.
 
Warudishe Mali zetu wore waliochukua kiufisadi. Ila kwa waliochukua kihalali waachwe.
 
Ngoja niweke akiba ya maneno mpaka pale nitakapoona wamechukuliwa hatua stahiki!
Vinginevyo hizi ni porojo tu kama za makinikia....
 
hapo lazima anayetafutwa ni Nape tu...
 


Haki ya mtu huwa haipotei bure..!

Na kuwa makini sana na chozi la mtu mzima hasa unapokuwa umemfanyia jambo kinyume na matakwa yake.

~ Karma~
 
Hapa ndio ngoma inogile. Cha msingi sheria zifuatwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…