Seki wa Six je?Simuoni Zakhia Meghji
Simuoni Sofia Simba
Simuoni aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Dar!
Simuoni Emmanuel Nchimbi
Simuoni............
Simuoni ..........
Simuoni ..........Mwenyekiti Mstaafu wa CCM
Simuoni Jokate
Enzi za vua gamba hizo, ninazikumbuka
Joka lenye makengeza humu limepona[/COLOR][/SIZE]
Kama uliwabishia nenda ukatubukumbe waliokuwa wanasema ccm ni wezi walikuwa wanayaona hayo
lina muwkilishi namba 9 hapo juuJoka lenye makengeza humu limepona
Simuoni Zakhia Meghji
Simuoni Sofia Simba
Simuoni aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Dar!
Simuoni Emmanuel Nchimbi
Simuoni............
Simuoni ..........
Simuoni ..........Mwenyekiti Mstaafu wa CCM
Simuoni Jokate
Subiri kwanza...au anzisha uziii uliza hili swali.Hivi chadema huwa Wana Mali?
Kwa hiyo hivyo alivyo ni matokeo ya maandalizi? Iko taabu! Nahisi waandaaji hakuna anayetaka maendeleo.Ahsante!!
Lakini kaa ukijua hakuna linalotokea kwa bahati mbaya.
Na maandalizi ya Dr.Hussein hayajaanza leo wala jana.
Tujipe muda
Shaka ametisha..$200000 Mae, MTU kama huyo hatokuelewa ukimwambia habari za vyuma kukaza
1. Bulembo: Kauza shule 6 za Jumuiya ya wazazi
2. Waziri Mkuu Majaliwa: Aliuziwa moja ya shule ya wazazi na Bulembo kwa bei ya kutupwa. Kisha alipoenda kuhojiwa na kamati ya Dr. Bashiru wasaidizi wake waliwakufukuza kama mbwa
3. Lowassa: Alikwapua share za CCM katika miliki ya jumla ya Channel Ten
4. January Makamba: Alishiriki kuuza share za Halotel zilizokuwa zinamilikiwa na CCM
5. Nape Nauye: Baada ya uchaguzi Mkuu alichukua magari 3 VX mapya ya CCM
6. Shaka H Shaka: Alifoji hati ya maeneo ya UVCCM kwa kushirikiana na mwekezaji kisha kuchukua mkopo bank zaidi ya dola laki 200,000
7. Mbunge Sixtus Mapunda: Wizi wa mamilioni katika mashamba ya Igumbiro, pamoja na kufoji muhtasari ya baraza la wadhamini. Hii ni pamoja na kufoji saini za wajumbe wa baraza hilo na aliyekuwa Mwenyekiti Dr. Nchimbi
8. Jumuiya ilioongoza kwa ubadhirifu ni ya Wazazi ikifuatiwa na jumuiya ya Vijana (UVCCM)
9. Baadhi ya wahusika kupandishwa kizimbani kuanzia wiki ijayo June, 2018 akiwemo Shaka na Sixtus Mapunda
10. Makatibu wa mikoa zaidi ya 10 wa Chama wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu
11. Makatibu wa mikoa 8 wa UVCCM wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu
NB: Dr. Bashiru ameapa kuwawajibisha kila mmoja aliyeonekana hata katika page moja ya karatasi.
Deal za kitoto joka hana mzuka nazo yeye B onwards.Safari hii joka la makengeza halimo ??
Mkuu tusahau tu hakuna kitu kama hicho,wote ni wale wale tu waliokunywa uji wa mgonjwa