Haya Haya... Huku Myakubanga na Queen Kan kule Figganigga na Heaven on Earth.....

wii unajua hujawahi kunipa ujumbe mzito na mefu kama huu....nashukuru sana wii wangu

nafurahije kuwa na wii kama wewe.....nashukuru sana kwa dua yao njema na mie nasema

:amen::amen::amen:

cc babe figganigga

wii ndio ujue jinsi gani nakupenda wii wangu, nitunzie kaka huyo asije pata kwashakoo ya mapenzi nakupa wiki tu nikija kwenu nimkute anakitambi cha ndoa na amenawiri kimahaba la sivyo utaniita Tyson wii!!!
 
Last edited by a moderator:
figganigga naona unaLIKE to leo huongei,unalinda tu mali yako,100.
 
Last edited by a moderator:
mi mzima sijui wewe

aaaaah najua wangu atajileta

joto sana heri niwe kifua wazi

sema bhana mi naishi kwa neno lako.

take me to your world.

Just take me to your world.
I'll be your volunteer and you 'll be my magician girl



!!(2xl)

Ndoa na iheshimiwe na watu wote. Safari hii utavaa shati kama hautakua makini na mazoea kwa wake za watu. Cc. Arushaone. Mia
 
Last edited by a moderator:
hawana uhakika na afya zao si bora ukakae kule mlangoni kwa ma new comer ujichague manzi mdogomdogo
ila wewe si ndo mkaguzi humu?ukiona kifaa cha ukweli uwe unanipa updates
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…